Zitto Kabwe: Polepole ni mtu aliyechanganyikiwa, apewe dawa, anaropoka tu!

Zitto Kabwe: Polepole ni mtu aliyechanganyikiwa, apewe dawa, anaropoka tu!

Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe Polepole ni mtu aliyechanganyikiwa, anapaswa apewe dawa, amekuwa mtu anayeongea mambo hovyo hovyo, ni mtu ambaye anaongea mambo bila kutafakari ni mtu ambaye anaropoka tu!, hana facts wala ushahidi wowote. Kwahiyo mimi naona ni mtu ambaye amejawa na chuki na anatafuta kuonekana yupo

View attachment 3455478
Afanye hivyo hivyo, angalau ccm inaweza fikiria kumwachia Jimbo la kigoma mjini
 
siwezi nikamjibu nadhani amechanganyikiwa ni mtu ambaye nadhani anahitaji kupewa dawa za msongo wa mawazo kwa sababu ni mtu ambaye anaongea mambo hovyo hovyo ni mtu ambaye anaongea mambo bila kutafakari na hana hoja wala ushahidi wowote kwa hiyo ni mtu ambaye amejawa na chuki na anatafuta kuonekana yupo” amesema Zitto.

Zitto ameongeza kuwa kama chama chake kingekuwa na ushirika na CCM basi wasingepitia changamoto wanazopitia sasa akidai 'wanashambuliwa'.

“unaona yanayotokea kama sisi tungekuwa na ushirika na CCM wangemkata mgombea wetu? wangetushambulia?” ameongeza Zitto.

H
ayo maneno Nloyabold , ndio Kitu CCM wanataka Watanzania Wayaamini 🤣🤣🤣
 
Huko a

Hayo so maigizo,yeye anataka wasizuge hata kidogo?
Aache mseleleko wa moja kwa moja.
 
Hivi kina chofanya Mpina kutokukidhi sifa za kugombea urais kupitia act si sababu ya kuvunja katiba ya chama na hoja hii aliye iamsha ni mmoja wa wawanachama wa act ni ikapata uzito kutoka kwa bwana Slow slow. Labda tumuulize bwana Heavy facts anazotaka kutoka kwa bwana Slow slow ni zipi kipindi hichi ambacho baadhi ya wana ccm wapo katika desperate time, na kuna kanuni moja inasema in desperate times call for desperate measures ,na mpaka sasa tunahesabu 2-0
 
Mbona haya maneno ya Zito yakiwekwa sambasamba na yale ya Polepole, atakayeonekana amechanganyikiwa na anayehitaji matibabu, atakuwa ni yeye Zito. Ameongea kama mtu ambaye anashangaa Polepole amejuaje mambo ambayo alikuwa anafanya gizani!

Watu toka hapo kale, wanajua kuwa ACT ilianzishwa kwa pesa ya JK; kwa lengo gani, yeye Zito anajua.
 
Wananchi tukae kwa kutulia tuu, lakin kwa viongoz wa serikali na vyama vya siasa wajitahid kuwa waaminifu maana kunauwezekano mkubwa hii style ya polepole Ikatumika na watu tusiotegemea kusanua vitu vigumu zaidi. Hii nikwasababu
1.Bunge haliwez kuyaongea
2. Kuwastua viongoz kwamba kitu kibaya kwa taifa hakiwez fichika kamwe ili kuwaalert wawe na kiasi.
3. Kupunguza pressure/sumu vifuani mwa wananchi ili wasiburst.
4. Ukosefu wa uwaz kwa wananchi unaweza kuwa unawafanya wakubwa wajisahau kupita kiasi.
Yote kwa yote tuishie kuongea tupunguze uadui baina yetu kwa gharama yoyote na tuwapende na kuwaheshimu VIONGOZ wetu ila iko wazi nawao wanakosea vzuri tuu as long as ni wanadamu.
 
Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe Polepole ni mtu aliyechanganyikiwa, anapaswa apewe dawa, amekuwa mtu anayeongea mambo hovyo hovyo, ni mtu ambaye anaongea mambo bila kutafakari ni mtu ambaye anaropoka tu!, hana facts wala ushahidi wowote. Kwahiyo mimi naona ni mtu ambaye amejawa na chuki na anatafuta kuonekana yupo

View attachment 3455478
Kuna mtu asiyejua wewe Zitto kuwa wa ovyo? Unaongea nini wewe snitchie, traitor, kila mtu anajua kuwa ACT-Wazalendo ni project ya CCM na serikali yake. Hata suala la Mpina mlijua lita-backfire, mkamuingiza mkijua kuwa mnamsaidia maza kwa kumdhibiti Mpina. KWANI HAMKUJUA TARATIBU ZA HIYO INEC FAKE ZINASEMAJE?
 
Back
Top Bottom