Zitto Kabwe: Polepole ni mtu aliyechanganyikiwa, apewe dawa, anaropoka tu!

Zitto Kabwe ni traitor na mtu aliyechanganyikiwa. Alitegemea apate uwaziri mkuu, kumbe alikuwa anadanganywa na akina Kikwete, anadhani ni wajinga hawamjui jinsi alivyo.
Kale kajamaa kana matatizo kwa kweli, sawa anapewa posho za ushushu wa kuua upinzani ila CCM wanamsanifu tu kwani walishajuwa kuwa ni kichaa asiye na msimamo.
 
Zito kabwe ni fala sana kajitoa fahamu zote sasa kawa chawa wa Rostam Aziz
Ndiyo maana kako vile, watu walishamshitukia kitambo kuwa ni kuwadi wa CCM na ndiyo maana wanamcheka tu. Dogo ana roho mbaya sana na ndiyo maana mchawi.
 
Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe Polepole ni mtu aliyechanganyikiwa, anapaswa apewe dawa, amekuwa mtu anayeongea mambo hovyo hovyo, ni mtu ambaye anaongea mambo bila kutafakari ni mtu ambaye anaropoka tu!, hana facts wala ushahidi wowote. Kwahiyo mimi naona ni mtu ambaye amejawa na chuki na anatafuta kuonekana yupo

View attachment 3455478
Sasa agent wa mtandao ulitegemea asemeje?!
 
Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe Polepole ni mtu aliyechanganyikiwa, anapaswa apewe dawa, amekuwa mtu anayeongea mambo hovyo hovyo, ni mtu ambaye anaongea mambo bila kutafakari ni mtu ambaye anaropoka tu!, hana facts wala ushahidi wowote. Kwahiyo mimi naona ni mtu ambaye amejawa na chuki na anatafuta kuonekana yupo

View attachment 3455478

😂😂😂😂
 
FB_IMG_1756576423414.jpg
 
Z

Zitto ni akili kubwa hajawahi kuniangusha.
 
Babalevo kaahidi kwenda kumaliza political career ya Zitto.

Yetu macho, kama amuwezi ‘Babalevo’ basi Polepole sio size yake.

Sioni Zitto kushinda, Kigoma mjini.

Baada ya hapo ndio atamuelewa Polepole.
 
😂😂😂 Ngoja pole pole amuangushie nyuklia nyingine hizi sio zama za kuwadanganya danganya Watanzania kizembe amekasirika baada ya pole pole kuweka wazi kuwa Wana mtandao Huwa Wana kawaida ya kuwapachika watu wao katika vyama pinzani kama ilivyokuwa Kwa Bernard membe
 
Back
Top Bottom