Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Zitto huna nyimboo, paka shume, tuliza matako yakoKiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe Polepole ni mtu aliyechanganyikiwa, anapaswa apewe dawa, amekuwa mtu anayeongea mambo hovyo hovyo, ni mtu ambaye anaongea mambo bila kutafakari ni mtu ambaye anaropoka tu!, hana facts wala ushahidi wowote. Kwahiyo mimi naona ni mtu ambaye amejawa na chuki na anatafuta kuonekana yupo
View attachment 3455478
Unataka kusema wanawekwa au mimi ndio siajelewaWanasiasa ni wangese sana 😲
Baba Levo atamfundisha siasaZitto mechukia kwa kuwa kwakuwa Polepole amefunua amefunua siri kuwa ACT ni mchepuko wa CCM.
Kitambo sana.Ogopa sana teknolojia Leo hii zito anashtuka kuulizwa alikua na maana gani ya kusema miaka 7 ya gizani. Huyu jamaa ni dalali