Zitto Kabwe: Polepole ni mtu aliyechanganyikiwa, apewe dawa, anaropoka tu!

Hivi kati ya msaliti Zitto na msema kweli Polepole, ni nani aliyechanganikiwa kati yao? Zitto hajitambui tu huyu dogo na ndiyo maana ana sura kama nyani.
 
Una akili Sana. Uishi milele
MUNGU HADHIHAKIWI
NASIMAMA NA HAKI
 
Zitto ni mtu MBADI sanaaaaa
 
Zitto kabwe kadiri siku zinavyoenda ndivyo anazidi kupoteza kushawishi wa kisiasa
 
Naunga mkono hoja. Kuna mgonjwa mwingine yupo magereza😂😂😂
 
Zitto ndo mtu wa hovyo kushinda uhovyo wenyewe

ACT ni ccm b" hili halina ubishi

Chama ambacho hakiwezi kukemea uovu wa ccm utakitofautishaje na na chama hiko?

Kauli za Zitto ni kuhakikisha wanachama walioko Zanzibar hawachukui hatua dhidi ya ACT na uhusika wake wa karibu Na CCM
 
Hivi Zitto alitoka lini Milembe Psychiatric Unit? Huyu dogo ana chumba chake cha matibabu pale Milembe na huwezi mfananisha na Polepole, Zitto ana asili ya ukichaa toka utotoni na nafikiri uchawi aliokabidhiwa na babu yake ndiyo unaomuathiri japo hajijuwi.
 
Hivi kati ya msaliti Zitto na msema kweli Polepole, ni nani aliyechanganikiwa kati yao? Zitto hajitambui tu huyu dogo na ndiyo maana ana sura kama nyani.
Zitto Kabwe ni traitor na mtu aliyechanganyikiwa. Alitegemea apate uwaziri mkuu, kumbe alikuwa anadanganywa na akina Kikwete, anadhani ni wajinga hawamjui jinsi alivyo.
 
Zito kabwe ni zwazwa kawa mchepuko wa ibilisi wa ccm kutwa yupo ofisini kwa Rostam Aziz
 
Zitto Kabwe ni traitor na mtu aliyechanganyikiwa. Alitegemea apate uwaziri mkuu, kumbe alikuwa anadanganywa na akina Kikwete, anadhani ni wajinga hawamjui jinsi alivyo.
Zito kabwe sasa ni mchepuko wa ibilisi wa ccm kutwa yupo ofisini kwa Zito kabwe
 
Hivi kati ya msaliti Zitto na msema kweli Polepole, ni nani aliyechanganikiwa kati yao? Zitto hajitambui tu huyu dogo na ndiyo maana ana sura kama nyani.
Zito kabwe ni fala sana kajitoa fahamu zote sasa kawa chawa wa Rostam Aziz
 
Huyu Zitto ni mwanamtandao, dalili zote za huu ugonjwa wa kuwa mtandao anazo. Tumeambiwa wako CCM na upinzani...ndo hawa sasa...
 
Mheshimiwa Zitto unapojenga hoja shambulia hoja kwa hoja yenye nguvu siyo kumshambulia mtu. Unaposema amechanganyikiwa ulimpima kitabibu na kuona huo mchanganyiko?..
Tunahitaji kuona nguvu ya hoja na siyo nguvu ya vijembe na "personal attacks"..Ukiendelea kujenga hoja kwa mtindo huo kwenye Kampeni zako unaweza ukajikuta credits nyingi zinakwenda kwa mgombea wa upande fulani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…