Zitto Kabwe: Serikali ya awamu ya 5 acheni ushamba

Kama ni karama yake ya kuwatumikia Watanzania bado ataendelea kuwatumikia hata nje ya bunge. Tunajua Ccm hivi sasa hamna hoja za kushawishi wapiga kura wawape ridhaa zaidi ya mbinu ya kuitumia tume ya uchaguzi na vyombo vya dola mpate viongozi wa viti maaalum.. Mambo ya kipuuzi kabisa
Zitto anaumia anavyopuuzwa na Rais wetu mpendwa

Ajiandae kustaafu ubunge tu apishe kiongozi wanaowajali wanakigoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ramli, Nyinyi ndiyo wachawi wenyewe.
 
Zitto naye anaanza kujadili vitu vya kishamba sasa, unaanzaje kuilinganisha Giant Tanzania na sisimizi Rwanda? Anywaya waha wanatafuta Ligi ya ubishi kwenye hili tuwaache
 
Mh Zitto amenena.
Mimi nimemuelewa.
Watanzania tumemuelewa.
Walengwa mjitafakari!

Hata Mimi ningecheza Siasa za ushamba maana Siasa za kuwafanya watu wawe assurance hazinaga national Agenda
 
Mmeambiwa muache ushamba, kupokea ndege hiyo ni kazi ya waziri husika tu, acheni kupotezeana watu muda bhana.
Kesho utamwona amependa ndege anaenda kigoma kupiga picha na Wananchi

Sisi Wananchi tunachukizwa sana na uwongo wa Zitto
Zitto anaumia anavyopuuzwa na Rais wetu mpendwa

Ajiandae kustaafu ubunge tu apishe kiongozi wanaowajali wanakigoma
 

Duuuuh ndio maana Kingwangala akaona atudanganye kwa kusema timu kubwa za Ulaya(Chelsea,Man u,Man city) zinakuja kumlilia zikiomba Tz izi dhamini hahahah.
 
Kesho utamwona amependa ndege anaenda kigoma kupiga picha na Wananchi

Sisi Wananchi tunachukizwa sana na uwongo wa Zitto
Hiyo haihusiani na hoja ya kishamba ya kukusanya viongozi wote kupokea huu ujinga , naona aibu sana kuwemo kwenye nchi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…