Aureus Ndimbo
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 211
- 95
Kama wameweza kushika kote huko basi hapo mshamba nani na mjanja nani!Washamba wamewashika POLICCM,NECCM kwahiyo wanabebwa!!
Very soon watakuambia ni raia wa Rwanda wakunyang'anye na ubunge pia
Japo sina uhakika sana, labda lengo la Rais kufanya mapokezi makubwa ni kuufikishia habari umma wetu wajue assets ili wawe na nafasi kuhoji zikianza kupukutika, tunaambiwa Hayati Mwl. Nyerere aliacha ndege 14, lakini huko nyuma hatukuyajua hayo kwakuwa hazikuwa zinatajwa public.
JahCarHire ndio kawakabidhi nchi washamba nao washamba wanatumia Katiba Mbovu yetu kuwashika POLICCM na NECCM.Kama wameweza kushika kote huko basi hapo mshamba nani na mjanja nani!
Lakini on a serious note mauzinduzi na mapokezi yamezidi sana awamu hii, zote hizi ni kodi za walala hoi zinateketezwa! Ule msururu wa wageni waalikwa wa jana hawakwenda pale bure. Tuna kiongozi mnafiki mno!
We kijana mwekundu kweli huna adabu kabisa kwa wakubwa[emoji16]Nasikia watu wote mwanza walitakiwa waangalie angani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nitakuja kumsimulia mjuu wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu hoja kwanza. Kwa mtazamo wako, unaona ni sahihi viongozi wote wa juu wa serikali kukusanyana kwenda kupokea ndege?Zitto anaumia anavyopuuzwa na Rais wetu mpendwa
Ajiandae kustaafu ubunge tu apishe kiongozi wanaowajali wanakigoma
Na haijawai kamatwaRwandair kwa taarifa yako ina ruka London zaidi ya mwaka sasa. Inatumia Gatwick airport . Usitufanye wote wajinga hawawezi kuomba ruti ya mwanza - London
wewe ndo mshamba wa kwanza na haya maisha hayana formula usitake kuiga kila kitu yani maisha wanayoishi Rwanda na wewe ndo unataka uishi hayo???
Kesho utamwona amependa ndege anaenda kigoma kupiga picha na Wananchi
Sisi Wananchi tunachukizwa sana na uwongo wa Zitto
Route za rwandairMungu kamjalia JPM karama za uongozi na kufanya mambo makubwa ya maendeleo, zito acha wivu, hongera JPM
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunamjibu kwa picha sio maneno tuuView attachment 1293355View attachment 1293357
Kesho utamwona amependa ndege anaenda kigoma kupiga picha na Wananchi
Sisi Wananchi tunachukizwa sana na uwongo wa Zitto
[/QUO
Hahahaha.Kwanza pesa zinazotumika kupokea ndege kwa wakuu wa nchi wote kuwa mwanza ni kama uhujumu uchumi
Halafu wako live kwenye maTV uku ndege baada ianzie kuchukua abiria pale mwanza eti inakuja dar na wana ccm!!
Hivi ATCL hawana office mwanza?
Hasara tumeshaingia kulipa mawakili kushindwa kesi kumlipa mkulima jamani hasara zingine tungezi-epuka!!
Hakuna hata umuhimu wa kuwa na Rais mwenye PhD na waziri wake wa mambo ya nje Profesor
Mimi na ka-degree kangu kamoja ningeweza kuongoza vizuri Tanzania na kuzuia mbwembwe na utoto unaoendelea majirani wanatucheka sana.