Zitto Kabwe: Sitagombea tena Uongozi ndani ya ACT WAZALENDO, najikita kwenye Ubunge. Malengo yangu ni kuwa Rais wa Tanzania

Ni kama amechoka hivi? Anaweza hamia CCM au kurudi CHADEMA? Anavyyongea siku hizi ni kama hajachangamka kama zamani? Au anatumia sana pombe kali? Nini kimemtokea huyu jamaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…