Zitto Kabwe: Sitagombea tena Uongozi ndani ya ACT WAZALENDO, najikita kwenye Ubunge. Malengo yangu ni kuwa Rais wa Tanzania

Ambacho kimefanya nikupe Kongole, pamoja na kuweka Video lakini bado ukatuandikia kwa ufupi yale Zitto aliongea. ..

Hongera tena.

1. Si mara ya kwanza kuweka video. Rabbon alinipa angalizo kuwazingatia wasiokuwa na bando lavkutosha.

2. Kama hapa kama nilivyojifunza kwake kwani elimu haina mwisho, niliweka huu hapa jana:

Kamanda wa CHADEMA akinukisha Gold FM, Kahama

3. Hapo #2 ningepata hongera zako ningesuuzika zaidi.
 
Akiongea na redio hiyo ya kimataifa jana mchana, mwanasiasa huyo amefunguka:

View attachment 2933149

Kwamba:

1. Ameamua kunga'atuka kwa mujibu wa katiba akikiacha chama kikiwa katika hali bora zaidi kuliko wakati wowote.
2. Hatarejea kwenye uongozi wa chama hicho kama katiba inavyotaka, kwani muda wake umekwisha; bali atasalia kuwa mwanachama.
3. Anayo imani kubwa na waliochukua hatamu za uongozi na kuwa hana shaka, chama kipo katika mikono salama.
4. Mzee Duni kujitoa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi, hakukuwa na shinikizo lolote.
5. Malalamiko yao kwenye "serikali yao ya nusu mkate Zanzibar" karidhika na alipofikia na yaliyopo ya nini kitafuata.
6. Kuwa anapanga kurejea bungeni agombee 2025.
7. Chama kikimhitaji kwa ushauri au kushiriki vikao yuko radhi.
8. Anazo ndoto za urais wakati wake ukifika, na hasa 2030 na huko mbele lakini si 2025.
9. Anaamini kwenye siasa za kuleta mabadiliko; kuwa hizo ziko bungeni.
10. Anatambua mbunge aliyepo Kigoma ni aliyetangazwa tu, lakini siyo aliyeshinda.
11. Kuhusu uchaguzi 2025 kuwa huru na haki; anaamini mazingira yatakuwa bora zaidi 2025, kwani 2020 yalikuwa mabaya mno na kuwa heri tungerejea hata kwa yaliyokuwa 2015.
12. Mabadiliko yaliyopo sasa kuwa hakuna kupita bila kupingwa, wenyeviti na makamu watapatikana tokea kwenye mchakato wenye usaili wa waombaji, nk yanatia moyo.
13. Kuhusu madai ya u CCM B wake; hajawahi kuwa CCM, amekuwa upinzani muda wote, hajawahi kuunga mkono juhudi. Hata hivyo anatambua siasa zake ni tofauti na za wengine, ambalo hilo ni suala binafsi.

Maneno kuntu kabisa kutoka kwake Zitto Zuberi Kabwe.

Kwa hakika kama asemavyo Prof. Lwaitama adui yetu ni mmoja:

Lwaitama: Kwenye maslahi ya nchi, adui yetu ni CCM
Kuna tofauti kati ya kung'atuka, kustaafu na kuachia cheo fulani cha kisiasa.
Zito hajang'atuka, bado yupo sana uwanjani. Maandishi yako yanathibitisha hilo.
 
1. Hatuwezi kuwa sawa kama watoto mapacha ndiyo maana hata kwenye maridhiano tulikuwa na maoni tofauti:

2. Hapo namba #1 Mandela alitembea na Buthelezi. Wala hatujishangai sisi tunakwama wapi?

3. Kwenye hili wakulaumiwa ni sisi wenyewe, CCM tutamsingizia bure.

4. Hapo #3, kwani Mbeya ya zama zile ilikuwaje?

5. Kitulacho kinguoni mwetu tuko kama tunadhani kuna ustaa kwenye ukombozi:

View attachment 2933692

6. Hapo #5 huku kutojua umoja ni nguvu kunayapa ma CCM jeuri ya kuendelea kutung'ong'a hadharani ikiwamo matamshi yao ya kutawala milele.

7. Tuko kama tumerogwa, siyo bure!

..labda ikifika wakati wa uchaguzi Act na Cdm watashirikiana.

..kama utakumbuka uchaguzi wa 2020 walijaribu kuunganisha nguvu, ingawa sheria zetu za uchaguzi ziliwazuia.
 
Akiongea na redio hiyo ya kimataifa jana mchana, mwanasiasa huyo amefunguka:

View attachment 2933149

Kwamba:

1. Ameamua kunga'atuka kwa mujibu wa katiba akikiacha chama kikiwa katika hali bora zaidi kuliko wakati wowote.
2. Hatarejea kwenye uongozi wa chama hicho kama katiba inavyotaka, kwani muda wake umekwisha; bali atasalia kuwa mwanachama.
3. Anayo imani kubwa na waliochukua hatamu za uongozi na kuwa hana shaka, chama kipo katika mikono salama.
4. Mzee Duni kujitoa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi, hakukuwa na shinikizo lolote.
5. Malalamiko yao kwenye "serikali yao ya nusu mkate Zanzibar" karidhika na alipofikia na yaliyopo ya nini kitafuata.
6. Kuwa anapanga kurejea bungeni agombee 2025.
7. Chama kikimhitaji kwa ushauri au kushiriki vikao yuko radhi.
8. Anazo ndoto za urais wakati wake ukifika, na hasa 2030 na huko mbele lakini si 2025.
9. Anaamini kwenye siasa za kuleta mabadiliko; kuwa hizo ziko bungeni.
10. Anatambua mbunge aliyepo Kigoma ni aliyetangazwa tu, lakini siyo aliyeshinda.
11. Kuhusu uchaguzi 2025 kuwa huru na haki; anaamini mazingira yatakuwa bora zaidi 2025, kwani 2020 yalikuwa mabaya mno na kuwa heri tungerejea hata kwa yaliyokuwa 2015.
12. Mabadiliko yaliyopo sasa kuwa hakuna kupita bila kupingwa, wenyeviti na makamu watapatikana tokea kwenye mchakato wenye usaili wa waombaji, nk yanatia moyo.
13. Kuhusu madai ya u CCM B wake; hajawahi kuwa CCM, amekuwa upinzani muda wote, hajawahi kuunga mkono juhudi. Hata hivyo anatambua siasa zake ni tofauti na za wengine, ambalo hilo ni suala binafsi.

Maneno kuntu kabisa kutoka kwake Zitto Zuberi Kabwe.

Kwa hakika kama asemavyo Prof. Lwaitama adui yetu ni mmoja:

Lwaitama: Kwenye maslahi ya nchi, adui yetu ni CCM
Mbowe afuate mfano mujarabu wa ZZK kuwa kigando na kiruba sio sawa na wengine waaminike wanaweza mdude apewe chama anaweza.
 
..labda ikifika wakati wa uchaguzi Act na Cdm watashirikiana.

..kama utakumbuka uchaguzi wa 2020 walijaribu kuunganisha nguvu, ingawa sheria zetu za uchaguzi ziliwazuia.

1. Unadhani kwa kauli hizi unazozisikia kutoka kwa makamanda ninao thubutu kuwaita uchwara zinaweka msingi wowote wa mashirikiano siku za usoni?

img-20240301-wa00875287063232250173040 (1).jpg

2. Kwani Prof. Lwaitama kutupia jezi la zambarau hapo kunamfanya kuwa Ani ACT?

3. Kwa wenye chongo nawe vunja lako moja yana maana yoyote kwa makamanda kama hawa?
 
Kuna tofauti kati ya kung'atuka, kustaafu na kuachia cheo fulani cha kisiasa.
Zito hajang'atuka, bado yupo sana uwanjani. Maandishi yako yanathibitisha hilo.

Unadhani mada yaongelea misamiati ya kiswahili? Hayo si tulishakubaliana kuwaachia bakita maana maneno matupu hayavunji mfupa?

Tunachoongelea ni mahojia o ya Zitto na DW akijibu maswali yake kama alivyouluzwa:

Dw: Zitto afunguka yakiwamo ya u CCM B

Hiyo ndiyo title ya mada ambayo Moderator kea sababu zao wameamua kuubadilisha kuwa iliyopo. Hata hivyo kwa sasa niwaoongeze Moderator kwa maboresho mapya yaliyopo sasa baada ya kuwalalamikia.

Kutokea hapo jiridhishe kuwemo au kutokuwemo.kwenye mada.
 
1. Unadhani kwa kauli hizi unazozisikia kutoka kwa makamanda ninao thubutu kuwaita uchwara zinaweka msingi wowote wa mashirikiano siku za usoni?

View attachment 2933914

2. Kwani Prof. Lwaitama kutupia jezi la zambarau hapo kunamfanya kuwa Ani ACT?

3. Kwa wenye chongo nawe vunja lako moja yana maana yoyote kwa makamanda kama hawa?

..ukumbuke kwamba Act, Cdm, Cuf, Ccm, etc vyote ni vyama shindani.

..Kwasababu ni vyama shindani uwezekano mkubwa ni kwamba vina malengo tofauti, na vitatumia mbinu tofauti kufikia malengo hayo.

..Hata pale ambapo vyama vya siasa vilikuwa na malengo yanayofanana haikuwa jambo rahisi kuunganisha nguvu.

..Mfano mzuri kuhusu vyama shindani vilivyokuwa na malengo yanayofanana, lakini ikashindikana kuunganisha nguvu, ni vyama vya Zanu, na Zapu, vilivyokuwa vikipigania uhuru wa Zimbabwe.

..Kwa maoni yangu, ni vigumu kwa vyama vya siasa kuunganisha nguvu hapa Tz, au kwingine kokote, kwasababu kila chama kinaamini kiko ktk njia sahihi.

..Tunachoweza kushauri na kuhimiza ni vyama vya upinzani kutokuhujumiana wakati wowote vinapoendesha shughuli au harakati zao za kisiasa.
 
1. Umeandika vyema japo hapa Pana ukakasi:

..ukumbuke kwamba Act, Cdm, Cuf, Ccm, etc vyote ni vyama shindani.

Bila shaka ndiyo maana kuna makasiriko kwa wasiojitambua; wanadhani siasa ni ushindani kama Yanga na Simba.

2. Hapo #1 ingependeza zaidi kama ungesema ni vyama tofauti. Shindani kwani wanashindania nini?

3. Unaonaje maneno ya hekima akili kubwa haya toka Kwa nguli huyu:

Lwaitama: Kwenye maslahi ya nchi, adui yetu ni CCM

4. Waonaje badala ya kuchagua mashindano, kuweka maslahi ya wananchi mbele?

5. Hudhani dhana potofu hii ya mashindano ndiyo inayoleta makasiriko haya baina ya vyama?

6. Hudhani siasa ni sayansi badala ya kukomaa kivyetu vyetu kwa maslahi ya nchi, labda ni muda sasa wa kutafuta hata ushauri nasaha kutoka kwa manguli wachache wanaobakia?
 
Zitto wewe uwe raqisi wa Tz? 😡 😡
Nitahama Tz na kamwe sitorudi tena asilani!
Zitto haaminiki popote pale na huyu ndie atatuuza wote!
 
Hivi kung'atuka Kwake mbona imekuw hoja ya kila siku au ndiyo mafanikio ya chama?

Hata ukitoka uongozini chama chenyewe kinafanya kazi Tunduru-Kigoma mjini-Magomeni na Pemba tu. Kina life circle ya Mende.
Shikilia hayo hayo wenzako Wana wabunge na mawaziri
 
Back
Top Bottom