Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
mbona kuweweseka sasa 🐒Kwanza ni uwongo kuwa ameng'atuka. Yeye amemaliza muda wake wa uongozi kwa mujibu wa katiba ya ACT.
Watu wengi wana akili ndogo. Wanakuza jambo dogo lionekane la ajabu!
Nyerere alinga'atuka. Mwinyi, Mkapa na Kikwete walimaliza ata katiba wala siyo jambo la ajabu kiasi kwamba iwe ni jambo la kuongelea kila siku.
Huwezi kusema kuwa Mwinyi, Mkapa au Kikwete waling'atuka. Labda kama hujui Kiswahili wala maana ya neno kung'atuka.
Umewahi kumsikia Kikwete akisema kuwa aling'atuka? Halafu ikawa hadithi ya kila siku? Kama katiba ya ACT ina muda maalum wa kiongozi kuwa kwenye nafasi fulani, kuna nini cha ajabu?
CCM haina kiongozi wa chama na halafu tena mwenyekiti wa chama 🐒
awali zito alikua Mwenyekiti wa chama chake na baadae akawa kiongozi wa chama chake pia 🐒
kung'atuku viongozi wa CCM ni mila desturi, ustaarabu na ukomavu wa Demokrasia ndani yake. Na kwahivyo huwez shangaa hata kidogo 🐒
Lakini upinzani 🤣🤣
Lazma ushangea kwasabb ni nadra mno kouona kiongozi wa upinzani anaachia nafasi ktk uongozi wa chama chake. Power is so sweet 🐒
Zito ameonyesha mfano mujarabu sana wa ukomavu kisiasa na pengine ameonyesha njia wengine katika vyama vingine kuingia ustaarabu huo, anastahili pongezi..... sana
kufananisha CCM na ACT ni kupotosha, havifanani muundo wala aina ya uongozi zilivyo 🐒