Zitto Kabwe: Sitagombea tena Uongozi ndani ya ACT WAZALENDO, najikita kwenye Ubunge. Malengo yangu ni kuwa Rais wa Tanzania

mbona kuweweseka sasa 🐒

CCM haina kiongozi wa chama na halafu tena mwenyekiti wa chama 🐒

awali zito alikua Mwenyekiti wa chama chake na baadae akawa kiongozi wa chama chake pia 🐒

kung'atuku viongozi wa CCM ni mila desturi, ustaarabu na ukomavu wa Demokrasia ndani yake. Na kwahivyo huwez shangaa hata kidogo 🐒

Lakini upinzani 🤣🤣

Lazma ushangea kwasabb ni nadra mno kouona kiongozi wa upinzani anaachia nafasi ktk uongozi wa chama chake. Power is so sweet 🐒

Zito ameonyesha mfano mujarabu sana wa ukomavu kisiasa na pengine ameonyesha njia wengine katika vyama vingine kuingia ustaarabu huo, anastahili pongezi..... sana

kufananisha CCM na ACT ni kupotosha, havifanani muundo wala aina ya uongozi zilivyo 🐒
 

Hizi sasa ni tafsiri ambazo Kila mtu anaweza kuwa na zake. Hakuna asiyejua nini kilichotokea.

Kwa mujibu wa mada kilichoandikwa ni alichosema Zitto kama alivyohojiwa.

Nguvu kubwa inayotumika nje ya mada inashangaza.

Kwani ni kipi alichosema Zitto kwenye mada hii kama kilivyo siyo kweli?
 

1. Alichosema chote kaulizwa na mwandishi.

2. Yaonesha hukupenda ajibu?

3. Haya ya chama chenyewe yanatoka wapi sasa? Haya si ndiyo Yale yenye kuweka tashwishi ya kuwa Pana mwiba mahali?

4. Kwanini tusimzodoe tokea katika maneno yako badala ya hisia zetu?

Alichosema kipo pale. Mnyonge mnyongeni.
 
CCM kawafanyia kazi nzuri, hivyo wameshamuahidi kumzawadia jimbo huko Kigoma kutokana na utii wake kwa mabwana zake.

Hakuna popote aliposema kawafanyia CCM kazi. Hakuna popote CCM wamesema amewafanyia kazi. Yeye kasema haya hapa:

"hajawahi kuwa CCM, amekuwa upinzani muda wote, hajawahi kuunga mkono juhudi. Hata hivyo anatambua siasa zake ni tofauti na za wengine, ambalo hilo ni suala binafsi..

Kistaarabu hoja si hujibiwa kwa hoja?
 
Mnafiki na mdini Zitto anasema ana ndoto za kugombea urais lakini atagombea 2030 na siyo 2025 wakati sifa za kugombea 2025 anazo maana kishapita miaka 40. Wenye akili tunajua kwa nini hagombei 2025.

Zitto huwa anaipinga CCM tu pale mgombea urais wa CCM anapokuwa wa ile imani nyingine.

Mimi ninabet Zitto anaweza hata kuteuliwa katika nafasi serikalini.

Japo mimi siiungi mkono CHADEMA, lakini natambua kuwa kimsingi nchii hii vyama vya siasa ni viwili tu CCM na CHADEMA.
 
Matendo yake yanaongea kuliko maneno.
Hata ungekuwa wewe usingesema kuwa unawatumikia CCM ila matendo yako yatatuambia uhusika wako japo kwa asilimia flani.
 
Zitto bado anajitafuta.........

Haya bila shaka ni mawazo yako ambayo kila mtu anaweza kuwa na yake. Hudhani kuwa ungejikita kwenye mada ungeona alikuongelea pia mtu kama wewe?

"Hata hivyo anatambua siasa zake ni tofauti na za wengine, ambalo hilo ni suala binafsi.."

Kistarabu hoja hujibiwa kwa hoja.
 
Love him or hate him,Zitto is indispensable kwenye siasa zetu.The man is living ahead of his time!Zitto yupo hatua kumi mbele kuliko kizazi chetu.Hatumuelewi,hatutamuelewa unless tungekuwa 300yrs past our independence.
Katika siasa za Afrika(hata kwenye vyama vya upinzani) sio rahisi mtu kuachilia nafasi ya chama not to say kama amekianzisha yeye!Hii haijalishi chama ni kikubwa/kibaraka/kidogo aje ni ngumu!At least Zitto anajaribu kuonesha kuheshimu katiba ya chama chake akijua kabisa lazima kuna mamluki wa chama tawala ndani ya chama chake.
Ushamba wa kiafrika jamaa ameutupa mbali sana,this is pure gem in its form aisee..HONGERA ZITTO.
Kwa wale maHATERs remember this;no one is hated too much than the one who speaks the truth!😅
 
I'm sorry to say this,CCM and CHADEMA are not political parties,they are just bunches of .....
 
Maneno mengi ila zero. Katiba ndio imemtaka aachie uongozi, hajaachia kwa mapenzi yake . Tuache sifa za kijinga.
 
Naomba uje inbox jamani kuna kitu tuchat
 

Na hapa bila shaka ndipo ule mwiba mchungu ulipo. Si Kwa makasiriko haya.

Al Watani, Bams, Mshana Jr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…