i nitafurahi akirudi bungeni !Tuhuma bila uthibitisho ni sawa na kupaka rangi hewa
Ambacho kimefanya nikupe Kongole, pamoja na kuweka Video lakini bado ukatuandikia kwa ufupi yale Zitto aliongea. ..
Hongera tena.
Kama tulivyo wa miss Lissu, Mbowe, Cheyo, Lipumba, Mnyika, Rungwe, na wengi wengine akili kubwa vyamani huko!Mim
i nitafurahi akirudi bungeni !
Tumezimiss sana Akili kubwa kule mjengoni !!
yaani tuongozwe na muha,
Tena wa mwandiga.
Kuna tofauti kati ya kung'atuka, kustaafu na kuachia cheo fulani cha kisiasa.Akiongea na redio hiyo ya kimataifa jana mchana, mwanasiasa huyo amefunguka:
View attachment 2933149
Kwamba:
1. Ameamua kunga'atuka kwa mujibu wa katiba akikiacha chama kikiwa katika hali bora zaidi kuliko wakati wowote.
2. Hatarejea kwenye uongozi wa chama hicho kama katiba inavyotaka, kwani muda wake umekwisha; bali atasalia kuwa mwanachama.
3. Anayo imani kubwa na waliochukua hatamu za uongozi na kuwa hana shaka, chama kipo katika mikono salama.
4. Mzee Duni kujitoa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi, hakukuwa na shinikizo lolote.
5. Malalamiko yao kwenye "serikali yao ya nusu mkate Zanzibar" karidhika na alipofikia na yaliyopo ya nini kitafuata.
6. Kuwa anapanga kurejea bungeni agombee 2025.
7. Chama kikimhitaji kwa ushauri au kushiriki vikao yuko radhi.
8. Anazo ndoto za urais wakati wake ukifika, na hasa 2030 na huko mbele lakini si 2025.
9. Anaamini kwenye siasa za kuleta mabadiliko; kuwa hizo ziko bungeni.
10. Anatambua mbunge aliyepo Kigoma ni aliyetangazwa tu, lakini siyo aliyeshinda.
11. Kuhusu uchaguzi 2025 kuwa huru na haki; anaamini mazingira yatakuwa bora zaidi 2025, kwani 2020 yalikuwa mabaya mno na kuwa heri tungerejea hata kwa yaliyokuwa 2015.
12. Mabadiliko yaliyopo sasa kuwa hakuna kupita bila kupingwa, wenyeviti na makamu watapatikana tokea kwenye mchakato wenye usaili wa waombaji, nk yanatia moyo.
13. Kuhusu madai ya u CCM B wake; hajawahi kuwa CCM, amekuwa upinzani muda wote, hajawahi kuunga mkono juhudi. Hata hivyo anatambua siasa zake ni tofauti na za wengine, ambalo hilo ni suala binafsi.
Maneno kuntu kabisa kutoka kwake Zitto Zuberi Kabwe.
Kwa hakika kama asemavyo Prof. Lwaitama adui yetu ni mmoja:
Lwaitama: Kwenye maslahi ya nchi, adui yetu ni CCM
Hongera tena Mkuu, kabla sijafungua na uzi wenyewe....!1. Si mara ya kwanza kuweka video. Rabbon alinipa angalizo kuwazingatia wasiokuwa na bando lavkutosha.
2. Kama hapa kama nilivyojifunza kwake kwani elimu haina mwisho, niliweka huu hapa jana:
Kamanda wa CHADEMA akinukisha Gold FM, Kahama
3. Hapo #2 ningepata hongera zako ningesuuzika zaidi.
1. Hatuwezi kuwa sawa kama watoto mapacha ndiyo maana hata kwenye maridhiano tulikuwa na maoni tofauti:
2. Hapo namba #1 Mandela alitembea na Buthelezi. Wala hatujishangai sisi tunakwama wapi?
3. Kwenye hili wakulaumiwa ni sisi wenyewe, CCM tutamsingizia bure.
4. Hapo #3, kwani Mbeya ya zama zile ilikuwaje?
5. Kitulacho kinguoni mwetu tuko kama tunadhani kuna ustaa kwenye ukombozi:
View attachment 2933692
6. Hapo #5 huku kutojua umoja ni nguvu kunayapa ma CCM jeuri ya kuendelea kutung'ong'a hadharani ikiwamo matamshi yao ya kutawala milele.
7. Tuko kama tumerogwa, siyo bure!
Mbowe afuate mfano mujarabu wa ZZK kuwa kigando na kiruba sio sawa na wengine waaminike wanaweza mdude apewe chama anaweza.Akiongea na redio hiyo ya kimataifa jana mchana, mwanasiasa huyo amefunguka:
View attachment 2933149
Kwamba:
1. Ameamua kunga'atuka kwa mujibu wa katiba akikiacha chama kikiwa katika hali bora zaidi kuliko wakati wowote.
2. Hatarejea kwenye uongozi wa chama hicho kama katiba inavyotaka, kwani muda wake umekwisha; bali atasalia kuwa mwanachama.
3. Anayo imani kubwa na waliochukua hatamu za uongozi na kuwa hana shaka, chama kipo katika mikono salama.
4. Mzee Duni kujitoa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi, hakukuwa na shinikizo lolote.
5. Malalamiko yao kwenye "serikali yao ya nusu mkate Zanzibar" karidhika na alipofikia na yaliyopo ya nini kitafuata.
6. Kuwa anapanga kurejea bungeni agombee 2025.
7. Chama kikimhitaji kwa ushauri au kushiriki vikao yuko radhi.
8. Anazo ndoto za urais wakati wake ukifika, na hasa 2030 na huko mbele lakini si 2025.
9. Anaamini kwenye siasa za kuleta mabadiliko; kuwa hizo ziko bungeni.
10. Anatambua mbunge aliyepo Kigoma ni aliyetangazwa tu, lakini siyo aliyeshinda.
11. Kuhusu uchaguzi 2025 kuwa huru na haki; anaamini mazingira yatakuwa bora zaidi 2025, kwani 2020 yalikuwa mabaya mno na kuwa heri tungerejea hata kwa yaliyokuwa 2015.
12. Mabadiliko yaliyopo sasa kuwa hakuna kupita bila kupingwa, wenyeviti na makamu watapatikana tokea kwenye mchakato wenye usaili wa waombaji, nk yanatia moyo.
13. Kuhusu madai ya u CCM B wake; hajawahi kuwa CCM, amekuwa upinzani muda wote, hajawahi kuunga mkono juhudi. Hata hivyo anatambua siasa zake ni tofauti na za wengine, ambalo hilo ni suala binafsi.
Maneno kuntu kabisa kutoka kwake Zitto Zuberi Kabwe.
Kwa hakika kama asemavyo Prof. Lwaitama adui yetu ni mmoja:
Lwaitama: Kwenye maslahi ya nchi, adui yetu ni CCM
..labda ikifika wakati wa uchaguzi Act na Cdm watashirikiana.
..kama utakumbuka uchaguzi wa 2020 walijaribu kuunganisha nguvu, ingawa sheria zetu za uchaguzi ziliwazuia.
Palikuwa na uzi humu:Mbowe afuate mfano mujarabu wa ZZK kuwa kigando na kiruba sio sawa na wengine waaminike wanaweza mdude apewe chama anaweza.
Hongera tena Mkuu, kabla sijafungua na uzi wenyewe....!
Kuna tofauti kati ya kung'atuka, kustaafu na kuachia cheo fulani cha kisiasa.
Zito hajang'atuka, bado yupo sana uwanjani. Maandishi yako yanathibitisha hilo.
1. Unadhani kwa kauli hizi unazozisikia kutoka kwa makamanda ninao thubutu kuwaita uchwara zinaweka msingi wowote wa mashirikiano siku za usoni?
View attachment 2933914
2. Kwani Prof. Lwaitama kutupia jezi la zambarau hapo kunamfanya kuwa Ani ACT?
3. Kwa wenye chongo nawe vunja lako moja yana maana yoyote kwa makamanda kama hawa?
hawa ni wa chama gani cha upinzaniMzee Mtei
Mzee Bob Makani
..ukumbuke kwamba Act, Cdm, Cuf, Ccm, etc vyote ni vyama shindani.
..Kwasababu ni vyama shindani uwezekano mkubwa ni kwamba vina malengo tofauti, na vitatumia mbinu tofauti kufikia malengo hayo.
..Hata pale ambapo vyama vya siasa vilikuwa na malengo yanayofanana haikuwa jambo rahisi kuunganisha nguvu.
..Mfano mzuri kuhusu vyama shindani vilivyokuwa na malengo yanayofanana, lakini ikashindikana kuunganisha nguvu, ni vyama vya Zanu, na Zapu, vilivyokuwa vikipigania uhuru wa Zimbabwe.
..Kwa maoni yangu, ni vigumu kwa vyama vya siasa kuunganisha nguvu hapa Tz, au kwingine kokote, kwasababu kila chama kinaamini kiko ktk njia sahihi.
..Tunachoweza kushauri na kuhimiza ni vyama vya upinzani kutokuhujumiana wakati wowote vinapoendesha shughuli au harakati zao za kisiasa.
ZIto ana tofauti na lipumba
Shikilia hayo hayo wenzako Wana wabunge na mawaziriHivi kung'atuka Kwake mbona imekuw hoja ya kila siku au ndiyo mafanikio ya chama?
Hata ukitoka uongozini chama chenyewe kinafanya kazi Tunduru-Kigoma mjini-Magomeni na Pemba tu. Kina life circle ya Mende.