Zitto Kabwe: Sitagombea tena Uongozi ndani ya ACT WAZALENDO, najikita kwenye Ubunge. Malengo yangu ni kuwa Rais wa Tanzania

Mkuu chama kimemshinda kukijenga,sio kazi ndogo

Na yeye ni mtu wa tamaa na kutaka vitu vya fasta,alipokuja kujua reality ya nini maana ya chama naona ameamua ale chake mapema

Kazi ya kujenga chama ni miaka 40 plus,kutoka sasa angekua na miaka 80,ale saa ngapi na yeye ni mzee wa pupa na tamaa?

Anaenda bungeni kutetea tumbo,na chama wameshika incompetent motherfvckers,hakuna chama humo,ni downhill,yeye as long anakula matunda ya bunge hana shida

Who cares!
 
1. Chama kimemshinda? Kwani ulisomea wapi au ujuzi wa kuwatambua walioviweza au kuwashinda uliupata wapi?

2. Hapo #1, au ni ule uwalu walu wa makamanda uchwara wa kwetu tu?

3. "Yeye ni mtu wa tamaa?" Kwani wewe ni nani kuwa na mamlaka juu ya binadamu wengine kuzijua tamaa na maridhiko yao?

4. Kazi ya kujenga vyama ni miaka 40+? Huu muda ulifikiwa na nani?

5. Anaenda bungeni kutetea tumbo lake? Amekwambia yeye hivyo?

6. Kwamba hakuna chama humo ni ulaji tu? Unaonaje tushirikiane kudai ruzuku za vyama kufutwa ikiwamo kupunguzwa kwa mapato kwa wanasiasa kwa majina ya posho, mishahara au marupurupu?
 
hayo ni mafanikio ya ccm story zote hizi wanajaribu kumtekenya kamanda mbowe, yaani mbowe atakwepo sana. zito bado ni mmachinga wa kisiasa
 
Umeumaliza huu uzi mkuu
 
Jiulize maswali halafu jijibu mwenyewe

I got no time for this nonsense
 
Jiulize maswali halafu jijibu mwenyewe

I got no time for this nonsense

Surely the below uttered by a mere human being is utterly nonsense!

"Mkuu chama kimemshinda kukijenga,sio kazi ndogo

Na yeye ni mtu wa tamaa na kutaka vitu vya fasta,alipokuja kujua reality ya nini maana ya chama naona ameamua ale chake mapema

Kazi ya kujenga chama ni miaka 40 plus,kutoka sasa angekua na miaka 80,ale saa ngapi na yeye ni mzee wa pupa na tamaa?

Anaenda bungeni kutetea tumbo,na chama wameshika incompetent motherfvckers,hakuna chama humo,ni downhill,yeye as long anakula matunda ya bunge hana shida."

Good you have realized it though not early enough.
 
what difference does it make my nigga?

cant keep up with your nonsense
 
what difference does it make my nigga?

cant keep up with your nonsense

I happen not to be one!

More nonsense from a semi idiot day dreaming of owning others.

No wonder you assume to be the almighty. The below can never be from a sane human being:
Wyatt Mathewson said:
Mkuu chama kimemshinda kukijenga,sio kazi ndogo

Na yeye ni mtu wa tamaa na kutaka vitu vya fasta,alipokuja kujua reality ya nini maana ya chama naona ameamua ale chake mapema

Kazi ya kujenga chama ni miaka 40 plus,kutoka sasa angekua na miaka 80,ale saa ngapi na yeye ni mzee wa pupa na tamaa?

Anaenda bungeni kutetea tumbo,na chama wameshika incompetent motherfvckers,hakuna chama humo,ni downhill,yeye as long anakula matunda ya bunge hana shida

Who cares!
 
Mzee stick into Swahili

Umesoma wap English ya hovyo hivyo?

Geez

What I said about Zitto is what I stand with,what you have keep it for yourself!

He is a motherfvcker,msaliti,tamaa freak,no one trusts him,end of story!

Mengine yako,and infact,who cares!
 
Good that you are at last getting back to your street colloquial.

Ukijulie wapi kiingereza mburula wewe? Nani aliyeanza kupima maji?

Kwa taarifa yako yamejaa.

Rudi shule ukasome!

Bure kabisa!
 
Good that you are at last getting back to your street colloquial.

Ukijulie wapi kiingereza mburula wewe? Nani aliyeanza kupima maji?

Kwa taarifa yako yamejaa.

Rudi shule ukasome!

Bure kabisa!
Kingereza gani umeandika with garbage grammar mkuu?

Thats some shitty English mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…