Zitto Kabwe: Tangu lini Rais anaheshimu Bunge? Kosa la Lugola ni kufanya dili kwa kumzunguka Rais, hoja ya Bunge ni kisingizio tu

Zitto Kabwe: Tangu lini Rais anaheshimu Bunge? Kosa la Lugola ni kufanya dili kwa kumzunguka Rais, hoja ya Bunge ni kisingizio tu

Hawa kina Lugola sio kwamba walifanya makosa ya kuingia huo mkataba bila kujua,ila walifanya kile ambacho wanaona mkubwa wao anafanya kwa kukiuka taratibu,wakajua ndio mtindo wa awamu hii.

What a mother goat does,A child Goat should imitate...
... Duh!. Nchi ngumu sana hii kipindi hiki.
 
Hawa jamaa wakati wanaenda kusaini hilo dili la magari ya jeshi walimuaga Jiwe na aliwapa baraka zote sema waziri Mpango baadaye akaja kugutuka akakomaa ndiyo Jiwe akawa hana ujanja.
 
barafu,
Zitto,
Hivi waliwezaje kusafiri kwenda nje ya nchi ku sign hiyo mikataba bila ya idhini ya ofisi ya rais? Maana utaratibu ni hadi rais aidhinishe safari ya ofisa wa serikali au bunge ndiyo afisa huyo aweze kusafiri nje ya nchi, sasa hii imekaaje hii? Ina maana walitoroka nchini?
 
Quinine, Kangi kuingiza kingi mkuu kuwa angemkamata kigogo sasa hadi Leo kimya napunga kapewa sa hv anaanza kumsifia kwa neno la mungu mkulu kaona usinitanie ndo kampa za uso hadharani na ilani yake mkoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maji yanafuata mkondo, waziri amejifunza kwa role model.
 
Rais ni taasisi na Waziri ni mtu. Zitto anakurupuka!
Kwa maana yako ni kuwa taasisi ya urais ndiyo yenye haki ya kuivunja Sheria, katiba na taratibu zilizowekwa? Mbona Kama unajipaka kinyesi badala ya kujiswafi bwashee! Alitakiwa ajiondoe yeye na baraza lake na au timu magu ili kuilinda kisehemu Cha heshima kilichobakishwa kwake!
 
Back
Top Bottom