welding1682
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 2,151
- 4,681
Kuna kitu unaamanisha hapa Ila umeweka juu juu sana!Rais ni taasisi na Waziri ni mtu. Zitto anakurupuka!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kitu unaamanisha hapa Ila umeweka juu juu sana!Rais ni taasisi na Waziri ni mtu. Zitto anakurupuka!
... Duh!. Nchi ngumu sana hii kipindi hiki.Hawa kina Lugola sio kwamba walifanya makosa ya kuingia huo mkataba bila kujua,ila walifanya kile ambacho wanaona mkubwa wao anafanya kwa kukiuka taratibu,wakajua ndio mtindo wa awamu hii.
What a mother goat does,A child Goat should imitate...
Kwahyo kama ni taasisi ndio avunje sheria ovyo ovyo kwakuwa yy ni taasisi?Rais ni taasisi na Waziri ni mtu. Zitto anakurupuka!
Amevunja sheria gani bwashee?!Kwahyo kama ni taasisi ndio avunje sheria ovyo ovyo kwakuwa yy ni taasisi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo ndio hasa jambo lenyewePengine alitaka kujipenyeza kwenye dili kinyemela akafungiwa tinted
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] *****, unakuta ki benten kimefyatuka Room kwa mazaa! Af ndio ukiite baba yako?
Madili mwisho Ufipa bwashee!Hilo ndio hasa jambo lenyewe
What a mother goat does, A child Goat should imitate...
Rais ni taasisi na Waziri ni mtu. Zitto anakurupuka!
Hiyo taasisi ndiyo IPO juu ya katiba na sheria za nchi siyoRais ni taasisi na Waziri ni mtu. Zitto anakurupuka!
Kwa maana yako ni kuwa taasisi ya urais ndiyo yenye haki ya kuivunja Sheria, katiba na taratibu zilizowekwa? Mbona Kama unajipaka kinyesi badala ya kujiswafi bwashee! Alitakiwa ajiondoe yeye na baraza lake na au timu magu ili kuilinda kisehemu Cha heshima kilichobakishwa kwake!Rais ni taasisi na Waziri ni mtu. Zitto anakurupuka!