Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani nimejiuliza sana haya maswali anyway yeye ndio anajuaHivi waluwezaje kusafiri kwenda nje ya nchi ku sign hiyo mikataba bila ya idhini ya ofisi ya rais? Maana utaratibu ni hadi rais aidhinishe safari ya ofisa wa serikali au bunge ndiyo afisa huyo aweze kusafiri nje ya nchi, sasa hii imekaaje hii? Ina maana walitoroka nchini?
Acha uongo, Mbona amesema hata yeye haruhusiwi kukopa!? Kama suala ni taasisi hata wizara ni taasisi, ndiyo maana Katibu mkuu na Kamishna Generali wa Magereza wamehusika; au mwenzetu huelewi maana ya neno "taasisi?."Rais ni taasisi na Waziri ni mtu. Zitto anakurupuka!
Huyo huyo boss na ndo maana hapelekwi mahakamani kwa ukwapuzi wake,boss ni kinga
si umeambiwa kuwa jamaa hawajampa mgao ndo maana kaamua kujitoa ufahamu na kujisahaulisha Kama ruhusa ya kusafiri alitoa yeyeHivi waliwezaje kusafiri kwenda nje ya nchi ku sign hiyo mikataba bila ya idhini ya ofisi ya rais? Maana utaratibu ni hadi rais aidhinishe safari ya ofisa wa serikali au bunge ndiyo afisa huyo aweze kusafiri nje ya nchi, sasa hii imekaaje hii? Ina maana walitoroka nchini?
Zitto si anajua watanzania hawafikiri kwa bongo zao yaani Lugola umlinganishe na Rais....Lini Magu amekataa hajaagiza?
Hivi waliwezaje kusafiri kwenda nje ya nchi ku sign hiyo mikataba bila ya idhini ya ofisi ya rais? Maana utaratibu ni hadi rais aidhinishe safari ya ofisa wa serikali au bunge ndiyo afisa huyo aweze kusafiri nje ya nchi, sasa hii imekaaje hii? Ina maana walitoroka nchini?
Mkuu hebu weka vitu bhana.Hawa jamaa wakati wanaenda kusaini hilo dili la magari ya jeshi walimuaga Jiwe na aliwapa baraka zote sema waziri Mpango baadaye akaja kugutuka akakomaa ndiyo Jiwe akawa hana ujanja.
Rais anakopa wapi bwashee?!Acha uongo, Mbona amesema hata yeye haruhusiwi kukopa!? Kama suala ni taasisi hata wizara ni taasisi, ndiyo maana Katibu mkuu na Kamishna Generali wa Magereza wamehusika; au mwenzetu huelewi maana ya neno "taasisi?."