Zitto Kabwe: Tangu lini Rais anaheshimu Bunge? Kosa la Lugola ni kufanya dili kwa kumzunguka Rais, hoja ya Bunge ni kisingizio tu

Zitto Kabwe: Tangu lini Rais anaheshimu Bunge? Kosa la Lugola ni kufanya dili kwa kumzunguka Rais, hoja ya Bunge ni kisingizio tu

Hivi waluwezaje kusafiri kwenda nje ya nchi ku sign hiyo mikataba bila ya idhini ya ofisi ya rais? Maana utaratibu ni hadi rais aidhinishe safari ya ofisa wa serikali au bunge ndiyo afisa huyo aweze kusafiri nje ya nchi, sasa hii imekaaje hii? Ina maana walitoroka nchini?
Yaani nimejiuliza sana haya maswali anyway yeye ndio anajua
 
Sasa hapo anapokwenda meko anapajua mwenyewe iafika wakati itabidi aajiri maroboti kutoka Japan yawe ndio mawaziri wake maana ukipishana na maagizo yaake ya ukichaa tayari anakutumbua Lugola alianza kutafutwa siku nyingi baada ya kumkaripia Musiba ambae ndie kipaza sauti rasmi cha Meko
 
Rais ni taasisi na Waziri ni mtu. Zitto anakurupuka!
Acha uongo, Mbona amesema hata yeye haruhusiwi kukopa!? Kama suala ni taasisi hata wizara ni taasisi, ndiyo maana Katibu mkuu na Kamishna Generali wa Magereza wamehusika; au mwenzetu huelewi maana ya neno "taasisi?."
 
Kiki zimebuma hata siku haijaisha. Ni jambo jema, baadhi ya watanzania wa sasa tunajisomea, tuna kumbukumbu na tuko tayari kuweka rekodi sawa ili watu wasijitafutie misifa ya kijinga.
 
Hivi waliwezaje kusafiri kwenda nje ya nchi ku sign hiyo mikataba bila ya idhini ya ofisi ya rais? Maana utaratibu ni hadi rais aidhinishe safari ya ofisa wa serikali au bunge ndiyo afisa huyo aweze kusafiri nje ya nchi, sasa hii imekaaje hii? Ina maana walitoroka nchini?
si umeambiwa kuwa jamaa hawajampa mgao ndo maana kaamua kujitoa ufahamu na kujisahaulisha Kama ruhusa ya kusafiri alitoa yeye
 
Hivi waliwezaje kusafiri kwenda nje ya nchi ku sign hiyo mikataba bila ya idhini ya ofisi ya rais? Maana utaratibu ni hadi rais aidhinishe safari ya ofisa wa serikali au bunge ndiyo afisa huyo aweze kusafiri nje ya nchi, sasa hii imekaaje hii? Ina maana walitoroka nchini?

Yawezekana hawa ni mbuzi wa kafara.
 
Acha uongo, Mbona amesema hata yeye haruhusiwi kukopa!? Kama suala ni taasisi hata wizara ni taasisi, ndiyo maana Katibu mkuu na Kamishna Generali wa Magereza wamehusika; au mwenzetu huelewi maana ya neno "taasisi?."
Rais anakopa wapi bwashee?!
 
Zitto,
Tupeni details vizuri hivi dili za RAIS anaficha wapi pesa anazopiga?

Mbona zamani ulikuwa mzuri sana! Ulikuwa mpaka na account number za mafisadi.
Siku hizi kuna nini? connections zako zimekata?

Mnasema tu dili dili ---hamtoi data kama zile za Kubenea jinsi ulivyokuwa unawalipa akina Ben saa nane na akina Shonza kupitia Tigo pesa na Mpesa na transaction flow zote toka ujerumani hadi kuwafikia akina Mkumbo nk.

Unakumbuka na data za Dr Slaa jinsi alivokuwa anaflow pesa imeingia Benki so and so, ikachukuliwa na so, tar so saa so.
Vipi siku hizi matuhumayanakuwa ya jumlajumla tu?

Tunahamu kuona mkimwaga data!
 
Back
Top Bottom