Zitto Kabwe: Tangu Mbowe anifukuze nimeanzisha Chama na Kinaongoza Serikali Kina Wabunge Wengi Zaidi yake nimestaafu na Sasa nalima Kahawa

ACT aliikuta maana ilianzishwa 2014 na yeye kajoin 2015 inabidi tumuulize mr firsr chairman
Zitto na wenzake walikuwa nyuma ya pazia kwa sababu bado walikuwa CHADEMA wakati wanasubiri hukumu yao.
 
Act aliikuta
Watu mnasahau tu. Zitto na ACT ni kama ambavyo walifanya akina Nape na CCJ, yaani kuanzisha chama huku wakiwa wamewatanguliza watu wengine! Zitto na wenzake baada ya kuwa na tuhuma za kutaka kumpindua Mbowe ndo wakati ambapo ACT ilianzishwa. Lakini kwavile bado walikuwa CHADEMA huku wakiwa wamekalia kuti kavu (kulikuwa na kesi inasubiri maamuzi ya uhalali wao kuendelea kuwa CHADEMA), ikabidi wabaki nyuma ya pazia na kuwatanguliza wasio fahamika kuanzisha chama kingine kwa sababu wangekuwa front yale madai ya kutna ndo maana baada ya kuvuliwa uanachama rasmi, hapo hapo akiwa na Mkumbo na Mwigamba wakajiunga na ACT
 
Bado hamjasema.Lisu mbeligiji atakuwa mwenyekiti wa chama huko Ubeligiji
 
Zito hana ushawishi kabisa kisiasa
 
Wewe ni mdogo sana kwa Mbowe.

Wabunge unaojivunia ni wa Maalim Sefu; alipolazimika kuondoka Cuf alitafuta jukwaa tu la kudanyia siasa ndipo akaja ACT kwa sababu alioma akianzisha chama hakitapata usajili kwa mizengwe .

Ukitaka kujipima na Mbowe jipime kwa kulinganisha huku Bara.

Ulifukuzwa CDM kwa uhaini na inasimama hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…