Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Act ilianzishwa na nani ?Act aliikuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Act ilianzishwa na nani ?Act aliikuta
hii wewe ni mtanzania kweli au mwenzetu upo huko kenya unaropokwa tu hujui hata nchi yako inaendaje'''Zitto bana alianzisha chama kipi
ACT aliikuta maana ilianzishwa 2014 na yeye kajoin 2015 inabidi tumuulize mr firsr chairmanZitto bana alianzisha chama kipi
Zitto kajiunga ACT 2015 Na ACT imeanzishwa 2014hii wewe ni mtanzania kweli au mwenzetu upo huko kenya unaropokwa tu hujui hata nchi yako inaendaje'''
Mkapige kura sasa,msiwe mahodari wa mitandaoniMbowe ni mjinga, miaka 20 madarakani bado analilia madaraka. Mbowe must go pumbavu kabisa
hii wewe ni mtanzania kweli au mwenzetu upo huko kenya unaropokwa tu hujui hata nchi yako inaendaje'''
Act ilianzishwa na nani ?
mtoto wa mwanga na ujiji na uswahili ni mapacha.Zitto ni mswahiliiiii, huwa anachamba watu hadi na taarab huyu.
Nimecheka sana.
Hao wote walitangulia tu ila Zitto pia alikuwa miongoni mwao2014 Kitila na samson mwigamba kisha wakamkaribisha mzee wa fitna 2015 akafanikisha mapinduzi yalimyomshinda chadema
Hao wote walitangulia tu ila Zitto pia alikuwa miongoni mwao
Wataalamu huwa wanamsemo "a greater dancer knows when to leave the stage" inanikumbusha miaka ya 1980 mwanzoni mwa miaka ya 1980 alikuwa bado undisputed akashauriwa astaafu record yake ikae vizuri pia kwa usalama wa afya yake akajiona bado yuko fit alipo ingia ulingoni alichakazwa mzee wa watu 🙌ujue kuna muda akili huwa inaona bado unaweza lakini mwili na umri vikakutaa
Hii Naiona Ata kwa Dr. Kimei alidhani akigombea ubunge atateuliwa kuwa waziri Baada ya kustaafu Ukurugenzi utendaji wa CRDB lakini wapi Hola haskiki
Zitto mjanja sanaMbowe ameumiza watu wengi sana kwenye hizi siasa za Upinzani safari hii asiruhisiwe kabisa.
Mzee Mbowe Kamfukuza Zitto Kabwe Kisha jamaa kaanzisha chama Cha ACT Wazalendo Sasa Kinaongoza Serikali na kaamua kustaafu Mzee Mbowe yeye bado anafukuzia miaka ya MKwewe ili kustaafu (68)
View attachment 3206275