Zitto Kabwe: Tangu Mbowe anifukuze nimeanzisha Chama na Kinaongoza Serikali Kina Wabunge Wengi Zaidi yake nimestaafu na Sasa nalima Kahawa

Zitto Kabwe: Tangu Mbowe anifukuze nimeanzisha Chama na Kinaongoza Serikali Kina Wabunge Wengi Zaidi yake nimestaafu na Sasa nalima Kahawa

Wenye wivu ni wengi, ikiwa Zitto ni role model wa Team Lisu, kwanini na Team Lisu wasimfuate Zitto huko ACT au kwenye kilimo cha kahawa?

HIyo ACT Zanzibar ilibebwa na Maalim Seif, na nayo inaelekea kufa, mtashuhudia hili October 2025.
 
Mbowe huyu ni mtu wa ajabu kweli yaani

Aibu hana kabisa aisee

Ngoja tumfundishe, hata kinguvu ang'olewe tu hakuna namna
 
Zitto bana alianzisha chama kipi
ACT aliikuta maana ilianzishwa 2014 na yeye kajoin 2015 inabidi tumuulize mr firsr chairman
 

Attachments

  • Screenshot_20250119-162006_Firefox.jpg
    Screenshot_20250119-162006_Firefox.jpg
    252 KB · Views: 3
Ameanzisha chama chenye wabunge au ni wabunge wa cuf ya zamani ya Zanzibar wenye itikadi zao ambao hata iyo ICT hawajawahi na Wala hawajui katiba yake?
 
Mkuu acha masuala ya kuambiwa,chama kilianzishwa 2014 na akina samson mwigamba,zitto kajiunga 2015 alikianzishaje ushahidi?
hii wewe ni mtanzania kweli au mwenzetu upo huko kenya unaropokwa tu hujui hata nchi yako inaendaje'''
 
2014 Kitila na samson mwigamba kisha wakamkaribisha mzee wa fitna 2015 akafanikisha mapinduzi yalimyomshinda chadema
Hao wote walitangulia tu ila Zitto pia alikuwa miongoni mwao
 
Wataalamu huwa wanamsemo "a greater dancer knows when to leave the stage" inanikumbusha miaka ya 1980 mwanzoni mwa miaka ya 1980 alikuwa bado undisputed akashauriwa astaafu record yake ikae vizuri pia kwa usalama wa afya yake akajiona bado yuko fit alipo ingia ulingoni alichakazwa mzee wa watu 🙌ujue kuna muda akili huwa inaona bado unaweza lakini mwili na umri vikakutaa

Hii Naiona Ata kwa Dr. Kimei alidhani akigombea ubunge atateuliwa kuwa waziri Baada ya kustaafu Ukurugenzi utendaji wa CRDB lakini wapi Hola haskiki

Larry homie au spink?
 
Zitto hakuanzisha chama ila aliipora act-wasaliti chama Tanzu cha ccm
 
Back
Top Bottom