Ndombwindo
JF-Expert Member
- Nov 23, 2013
- 1,387
- 2,085
Huyu mshenzi toka alipomtukana kipenzi cha wengi, marehemu John ndio nikajua ni mwendawazimu…hata vitabu anasoma ni kutokana na waandishi na maandishi kupendwa na wengi, sauti ya wengi ni ya Mungu… mchawi tu huyo mwamba…Apandishe mizmu ya yule mama yake mwanga
Siyo tabia yake kujibu maswali ama hoja kwenye uzi wake.Du!! Wananchi wa humu wana hasira na wewe vipi mbona hujibu chochote? Au umetoka nduki. Je huwezi kubadilika ili uendane na matakwa ya jamiii? Au ndio umeshajifungia vioo husikii la muhazini wala la mnadi swala.
Haitusaidii chochote sisi wana MwandigaMwaka huu unaomalizika 2022 nimebahatika kusoma vitabu mbalimbali 33 (2021:29, 2020:16, 2019:34). Ulikuwa mwaka mzuri kwa usomaji vitabu na pia mwaka ambao nilibahatika kupata zawadi nyingi za vitabu kutoka kwa marafiki zangu na ndugu zangu.
Nitaanza mwaka 2023, Mungu akijaalia kuvuka salama, nikiwa na karibu dazeni ya vitabu ambavyo sijasoma. Kama nilivyofanya mwaka jana, kutoka orodha ya mwaka huu nimeshatoa orodha ya vitabu 10 ninavyopendekeza watu kuvisoma mwaka ujao kama hawajavisoma.
Vitabu nilivyosoma mwaka huu kwa makundi mbalimbali ni kama ifuatavyo;
Riwaya
Wasifu/Tawasifu
- Magic of Saida – MG Vassanji
- I am Semba – Ajeka&Fox
- The Book of Secrets – MG Vassanji
- The House of Rust – Khadija Abdallah Bajaber
- Mtumwa kwenye Nchi Huru – Elizabeth Mramba
- A Line In The River: Khartoum City of Memory – Jamal Mahjoub
- We are all Birds of Uganda – Hafsa Zayyan
- The In-Between World of Vikram Lall – MG Vassanji
- Next In Line – Jeffrey Archer
- Tea with Ms. Tanzania – Fayyaz Vellani
- The Shadow King – Maaza Mengiste
Nchi ya mwaka, India
- The Chancellor: The Remarkable Odyssey of Angela Merkel – Kati Marton
- Njinga of Angola: Africa’s Warrior Queen – Linda M. Heywood
- The Prime Ministers We Never Had: Success and Failure from Butler to Corbyn – Steve Richards
- 38 Reflections on Mwalimu Nyerere – Ed. Mark Mwandosya and Juma V Mwapachu
- Hani: A life too short – Janet Smith and Beauregard Tromp
- Juhudi na Changamoto – Sheikh Ponda Issa Ponda
- The Bhutto Dynasty: The Struggle for Power in Pakistan – Owen Bennett-Jones
- Maisha Yangu – Khamis Abdallah Ameir
- Revolution in Zanzibar: An American’s Cold War Tale – Don Petterson
- The Tanganyika Way: A personal Story of Tanganyika’s Growth to Independence – Sophia Mustafa
Mchanganyiko
- Indian Summer: The Secret History of the End of an Empire – Alex Von Tunzelm
- Pride, Prejudice and Punditry: The Essential – Shashi Tharoor
- Mamata Beyond 2021 – Jayanta Ghosal
- The Rise of The BJP: The Making of the World’s Largest Political Party – Bhupender Yadav and Ila Patnak
- India in a New Key: Nehru to Modi, 75 years of freedom and democracy – Narain D. Batra
Heri ya mwaka mpya 2023
- Time for Socialism – Thomas Piketty
- Capturing Hope: The Struggle Continues for a New Malaysia – Mahathir Mohamed
- Final Reckoning: An Insider’s View of the Fall of Malaysia’s Barisan Nasional Government – Romen Bose
- The World for Sale: Money, Power and the Traders Who Barter the Earth’s Resources – Javier Blas and Jack Farchy
- Sudan’s Unfinished Democracy: The Promise and Betrayal of a People Revolution – Willow Berridge, Justin Lynch, Raga Makawi and Alex De Waal
- From Rebel to Ruler: One Hundred Years of the Chinese Communist Party – Tony Saich
- Borderland: A Journey Through the History of Ukraine – Anna Reid
23/12/2022
ILANI: Kila mwaka, nikibahatika na kujaaliwa, huwa ninasafiri pamoja na familia yangu. Kwa muda sasa nchi ninayotembelea huchomoza kupitia vitabu nilivyosoma mwaka huo. Mwaka huu nimeamua kuweka kundi la Nchi ya Mwaka ili kuonyesha vitabu nilivyosoma kuhusu nchi husika. Mwaka 2022 ilikuwa India (Rwanda 2021).
Mbona Zitto kasoma hivyo vitabu na hatofautiani na baba levo kwa uchawa
Zzk ni zaidi ya chawaZitto sio chawa ila anatamani sana mabadiliko kiasi cha kuamini akijirahisisha kwao wenye nguvu huruma inaweza kuwajia na kupata angalau nusu mkate.
Subiria majibuSwali mkuu ZZK, nauliza swali hili kwa nia njema kabisa kutaka kujua kitu fulani..
Unaweza kutuambia ACT Wazalendo wanakulipa mshahara kiasi gani kwa cheo au majukumu uliyo nayo hapo?...
Nje ya kazi yako ya ACT Wazalendo unafanya kazi gani nyingine kukuongezea kipato?
Kweli..walau kwenye hotuba zake angekuwa akiweka rejea za vitabu alivyosoma la sivyo vinaweza kuwa 5, 10, 100 au hata 1,000 kwetu sie ni titles na numbers tu!!Nadhani angefanya personal tu. Kutangazia watu vitabu ulivyosoma ambavyo hakuna ushahidi wa kuthibitisha ni kujionesha.
Zzk ni zaidi ya chawa
Mwaka huu unaomalizika 2022 nimebahatika kusoma vitabu mbalimbali 33 (2021:29, 2020:16, 2019:34). Ulikuwa mwaka mzuri kwa usomaji vitabu na pia mwaka ambao nilibahatika kupata zawadi nyingi za vitabu kutoka kwa marafiki zangu na ndugu zangu.
Nitaanza mwaka 2023, Mungu akijaalia kuvuka salama, nikiwa na karibu dazeni ya vitabu ambavyo sijasoma. Kama nilivyofanya mwaka jana, kutoka orodha ya mwaka huu nimeshatoa orodha ya vitabu 10 ninavyopendekeza watu kuvisoma mwaka ujao kama hawajavisoma.
Vitabu nilivyosoma mwaka huu kwa makundi mbalimbali ni kama ifuatavyo;
Riwaya
Wasifu/Tawasifu
- Magic of Saida – MG Vassanji
- I am Semba – Ajeka&Fox
- The Book of Secrets – MG Vassanji
- The House of Rust – Khadija Abdallah Bajaber
- Mtumwa kwenye Nchi Huru – Elizabeth Mramba
- A Line In The River: Khartoum City of Memory – Jamal Mahjoub
- We are all Birds of Uganda – Hafsa Zayyan
- The In-Between World of Vikram Lall – MG Vassanji
- Next In Line – Jeffrey Archer
- Tea with Ms. Tanzania – Fayyaz Vellani
- The Shadow King – Maaza Mengiste
Nchi ya mwaka, India
- The Chancellor: The Remarkable Odyssey of Angela Merkel – Kati Marton
- Njinga of Angola: Africa’s Warrior Queen – Linda M. Heywood
- The Prime Ministers We Never Had: Success and Failure from Butler to Corbyn – Steve Richards
- 38 Reflections on Mwalimu Nyerere – Ed. Mark Mwandosya and Juma V Mwapachu
- Hani: A life too short – Janet Smith and Beauregard Tromp
- Juhudi na Changamoto – Sheikh Ponda Issa Ponda
- The Bhutto Dynasty: The Struggle for Power in Pakistan – Owen Bennett-Jones
- Maisha Yangu – Khamis Abdallah Ameir
- Revolution in Zanzibar: An American’s Cold War Tale – Don Petterson
- The Tanganyika Way: A personal Story of Tanganyika’s Growth to Independence – Sophia Mustafa
Mchanganyiko
- Indian Summer: The Secret History of the End of an Empire – Alex Von Tunzelm
- Pride, Prejudice and Punditry: The Essential – Shashi Tharoor
- Mamata Beyond 2021 – Jayanta Ghosal
- The Rise of The BJP: The Making of the World’s Largest Political Party – Bhupender Yadav and Ila Patnak
- India in a New Key: Nehru to Modi, 75 years of freedom and democracy – Narain D. Batra
Heri ya mwaka mpya 2023
- Time for Socialism – Thomas Piketty
- Capturing Hope: The Struggle Continues for a New Malaysia – Mahathir Mohamed
- Final Reckoning: An Insider’s View of the Fall of Malaysia’s Barisan Nasional Government – Romen Bose
- The World for Sale: Money, Power and the Traders Who Barter the Earth’s Resources – Javier Blas and Jack Farchy
- Sudan’s Unfinished Democracy: The Promise and Betrayal of a People Revolution – Willow Berridge, Justin Lynch, Raga Makawi and Alex De Waal
- From Rebel to Ruler: One Hundred Years of the Chinese Communist Party – Tony Saich
- Borderland: A Journey Through the History of Ukraine – Anna Reid
23/12/2022
ILANI: Kila mwaka, nikibahatika na kujaaliwa, huwa ninasafiri pamoja na familia yangu. Kwa muda sasa nchi ninayotembelea huchomoza kupitia vitabu nilivyosoma mwaka huo. Mwaka huu nimeamua kuweka kundi la Nchi ya Mwaka ili kuonyesha vitabu nilivyosoma kuhusu nchi husika. Mwaka 2022 ilikuwa India (Rwanda 2021).
Zzk ni zaidi ya chawa
Mataga kazi yao ni kuharibu ili waendelee kuuza umbea na kwa kufanya hivyo wanajipatia mkate wao wa kila sikuUnaweza kusema Mbowe analamba asali kama mataga wanavyodai?
Kwa kusoma rundo hilo la Vitabu huyu mramba asali Zitto kalisaidia nini taifa?
Mla rushwa, mdini, muuaji, mfitini, mjahidina, muongo, mzinzi, mnafiki, mlevi, mchawi, chawa chawa, jambazi, mwizi, roho mbaya, n.k.Mwaka huu unaomalizika 2022 nimebahatika kusoma vitabu mbalimbali 33 (2021:29, 2020:16, 2019:34). Ulikuwa mwaka mzuri kwa usomaji vitabu na pia mwaka ambao nilibahatika kupata zawadi nyingi za vitabu kutoka kwa marafiki zangu na ndugu zangu.