Zitto Kabwe: Vitabu nilivyosoma Mwaka 2022

Heri nimefika kwa wasoma vitabu.

Natafuta kitabu kinaitwa hidden identity of blacks in the bible.
Author: Jeremiah Jael Israel
 
Hii ndiyo akili ya Watanzania walio wengi. Wivu, ujinga, kupuuza kusoma......hii nchi hayendi popote mpaka vizazi hivi vihamishwe, au viishe, vije vizazi vingine vyenye kufikiri kama watu wengine duniani.
Duh, mtu anakuambia tu vitabu alivyosoma watoa maneno ya upumbavu yasiyo na mnasaba wowote! Ksoma imekuwa ni muda wa kuchezea. Ndiyo maana mwapata viongozi bongo lala akina...
 
Mimi huyu jamaa Zube simuelewi kabsaa. mwaka 2006 niliwahi kumpendkeza kuwa man of the year kwa kumlipua waziri aliyetaka kufanya karl Peter scheme. lakini alinivunja moyo pale alipokubali kuingizwa jina lake katika tume ya madini na kupewa allowance za tume.halafu niliwahi kusiklia kuwa anapenda sana siasa za comminisim! hapo ndipo naungana na wenzangu waliotangulia kumkandia tabia yake kisiasa.
 
Hawa Members, watajuaje kwamba hivyo vitabu alivyosoma havielekezi Zitto awe hivyo alivyo, bila ya kuvijadili hivyo vitabu?

Who knows?, Labda hivyo alivyo ni matokeo ya vitabu alivyosoma, hatuwezi kujua kama tunakwepa kujadili maudhui yaliyomo kwenye vitabu na badala yake tunang'ang'ana kumjadili mleta vitabu.
 
Sasa,jamaa yetu,ungeshindwaje kusoma vitabu vyote hivyo kwa mwaka wakati huna kazi yoyote?Unasubiri ruzuku na riziki kutoka serikalini mughabho!Wengine hawawezi kuwa na muda huo.Wanatamani lakini majukumu ni mengi siyo kama weye!Eeee bhaaanaa bhiharage bhirasindye nyama!
 
Mwakani achana na siasa kuwa mshauri wa nchi na wananchi utapata muda mwingi wa kusoma vitabu zaidi na hautoegemea upande mmoja
 
Wanasiasa wote vigeugeu tu

Ova
 
Ulimwengu wa vitabu tunakupogeza jongwe Zitto Ila kwanini unachelewa kuchukua Kadi ya CCM tunatamani kukuona magogoni
 
Mkuu mleta mada mwenyewe hajavielezea hivyo vitabu yeye kataka tu tujue amesoma vitabu vingapi na kuweka majina ya hivyo vitabu, alichokifanya yeye ni show off tu ila wewe unataka sisi ndio tujadili maudhui ya vitabu.

Hata sisi tunasoma vitabu pia ila yeye Zitto kataka kuonyesha wingi wa vitabu anavyosoma kwa mwaka.
 
Hivi?, tunatakiwa kukomenti kuhusu Vitabu au Zitto au....???

...lakini salamu nimepata, Basi, Heri ya mwaka mpya.
 
Hivyo vitabu havijakuondolea chuki dhidi ya Magu na udini.
kama kweli umesoma hivyo vitabu level/ upeo wako ulitakiwa uwe juu sana beyond chuki na udini. But ndo vile hamna kitu
 
Chadema hakuna mtu wanaemshambulia kama Zitto...kama Wana "hidden reason"...
Lowasa,Sumaye..wote kwao sio wasaliti...Dr Slaa sio msaliti...wao Zitto ndo "msaliti" wao....hata thread inahusu vitabu ...all the can share is hate
Ajabu unataka kwenye thread ya Zitto watajwe Lowassa na Sumaye, ndio maana muda mrefu nakuona haupo sawa kichwani, una mahaba ya kizee sana.
 
Ajabu unataka kwenye thread ya Zitto watajwe Lowassa na Sumaye, ndio maana muda mrefu nakuona haupo sawa kichwani, una mahaba ya kizee sana.
Huyo jamaa sikuhizi kahamia ACT ndiyo maana amekuwa na tabia za kinyonga
 
Tatizo ni hilo hilo. Hawajielimishi na hivyo wana mitizamo finyu. Badala ya kujadili issues wao wanajadili personalities.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…