Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Aliyekua Kamishna Jenerali wa TRA Bwana Harry Kitilya na wenzake wanakesi inayoendelea mahakamani baada ya kufanikisha serikali (awamu ya nne) kupewa mkopo na Standard Bank(Stanbic) wenye riba ya 2.5%. Inasemekana Standard Bank riba yao ilikua ni 1.5 lakini washtakiwa ambao walikua kama ma Agents/Dalali waliweka "CHA JUU" 1%.
Siingilii mwenendo wa shauri hilo wala siingii kwenye details za kesi. Hoja yangu ni kwamba riba ya Standard Bank iliyotoa ule mkopo ukichanganya na hiyo "disputed" percentage ya 1% ambayo inasemekana imeliingizia taifa hasara ya US$ 6mil bado ni ndogo kwa zaidi ya mara tatu ukilinganisha na huu mkopo wa Standard Chartered!
Serikali ilikua desparate kwenye kupata huu mkopo? Kwa maoni yangu walistahili a better deal kuliko kiwango cha asilimia 9 kwani ni kubwa sana sana