Zitto Kabwe: Wahariri waulizeni CHADEMA wana mikakati gani ya kumtoa Mbowe jela

Kwa kwe hii strategy ya Zitto kama ingetumika ingekuwa inahalalisha kesi ya Mbowe. After all, Maza alishasema tuache sheria ifuate mkondo wake na kuwa serikali ina ushahidi.

Zitto ajue kwamba kuna mambo unahitaji kutumia principles badala ya kucompromise. Hili ni mojawapo. Hata Mandela kama angecompromize mbona asingekaa jela miaka 27. Bora Mbowe aendelee kukaa jela kwa maslahi ya wengi huko mbeleni. Actually, Inawezekana Mbowe akawa anapata usingizi mzuri huko aliko kuliko Maza huko Magogoni.
 
Zitto anapaswa kumuomba Rais ashughulikie waliompandikizia kesi hii Mbowe na sio kumuombea Mbowe msamaha.

Kumuombea Mbowe msamaha ni kuhalalisha kile anachotuhumiwa nacho,ni utoto na ujinga wenye lengo ovu sana kwa Chadema
 
Zito nae kachoka kiakili Sasa mahakmani wanafanya nini.Lakini naomba niwape onyo wote wenye mamlaka mwisho wenu wa kuonea watu upo karibu.
 
Atulize manyanga aloachiwa na ...ake!!
Mbowe atashinda kesi na wanaodhulumu hakizake watazoa laana wao na familia zao!!!
For the time been zitonga atuambie tuu habari za mke wa filiku...
 

Zitto ana maslahi gani kwa Mbowe. Mbona anataka kuchukua credit. CHADEMA waombe msamaha kwa sababu gani?. Yani CHADEMA wakampigie magoti Rais Samiah Halafu wameambieje?.
 

Aliomba msamaha Ndugai Tena mbele ya camera lakini hakusamehewa na akaongezewa mipasho. Mimi nashauri Ni Bora tupambane mahakamani mpaka Rufaa kuliko kuwapigia magoti CCM watawasimanga chadema mpaka wafe kisiasa.
 
Kuna jambo moja nina uhakika nalo..wengi wanamzungumzia ZZK kiushabiki....Zitto anajua kijacho! Anajaribu kunusuru jahazi..unfortunately hapewi support! Muda ni daktari mzuri sana!

Kama support Ni kuwapigia magoti CCM na kuwaomba msamaha, Hilo haliwezekani let nature take it's course. Halafu suala lenyewe lipo mahakamani, kwani aliyepeleka kesi mahakani Ni Mbowe au serikali?.
 
Chadema hatuna uwezo kisheria wala kinguvu wa kumtoa Mbowe na tunaamini pia hakuna mwanadamu yeyote mwenye uwezo huo isipokua Taasisi inayoitwa Mahakama. Sasa huyu zito awatume hao wahariri wakaiulize mahakama na sio viongozi wa chadema.
 
Kuna jambo moja nina uhakika nalo..wengi wanamzungumzia ZZK kiushabiki....Zitto anajua kijacho! Anajaribu kunusuru jahazi..unfortunately hapewi support! Muda ni daktari mzuri sana!
Unajua mtego anaotengeneza Zito kwa Mbowe ..akikubalia kuomba msamaha Mbowe itakula kwake kumbuka watawala wametafuta kwa miaka mingi inatakiwa ifahamike tu ukiamua kuwa mwanasiasa serious Africa Jela ni sehemu yako unless uwe opportunity kama akina Zito wanaoamini Serikali itawasaidia kujenga chama chao
 
Hichi kiloandikaa hapa hakina uhusiano na aliyoyasema Zitto leo kwenye kikao na wahariri. SIJUI KWA NINI MWANDISHI KAAMUA KUANDIKA ambayo hayakusemwa.
Kuhubiri haki na kusimamia haki ni vitu TAFAUTI sanaaa
Hebu eleza ukweli
 
Sisi chadema tunataka mbowe akae jela hadi siku tukishinda kesi,, hatuna haraka hata kesi ikichukua miaka 10,sawa tu [emoji1745]

Ingekuwa CHADEMA haiitaki Mbowe akae ndani wangeweka mawakili wanaopambana Kila siku?.
 
Ni mpmbavu sana
 
CHADEMA Ina kazi Sana. Babu duni na Zitto baada ya kuwauza ACT kwa CCM wanataka kutumika kuimaliza CHADEMA kwa ccm. Yani Mbowe akubali kuomba msamaha kwa Samiah mbona itakuwa sherehe ya mwaka kwa CCM. Kwanza msamaha utahalalisha mashtaka na serikali itaiwekea masharti CHADEMA kufanya siasa au hata kuifuta.
 
Kama mbowe anafahamu yeye ni gaidi akiri kosa...hatumzuii. ila kama si gaidi atuachie sisi tunamtoa jela mahakamani
 

Dogo ameshatoka kwenye level ya ujinga na kuingia kwenye level ya upumbavu.

Kila mpenda haki anataka Rule of Law. Halafu anatokea ZZK na ukigeugeu wake anataka Rais atumie presidential pardon power kwa mtu ambaye hajatiwa hatiani na mahakama. In other words, this loony wants CHADEMA to ask the President not to uphold the Rule of Law that CHADEMA itself craves! What a nonsense?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…