Zitto Kabwe: Wahariri waulizeni CHADEMA wana mikakati gani ya kumtoa Mbowe jela

Waombe msamaha kuwa Mbowe asamehewe kwa màkosa ya ugaidi au? Zito ana agenda ya siri!
 
Yani huyu jamaa ni kama ametumwa kumwambia jaji mfunge Mbowe ni gaidi..
Anatumika na mfumo vibaya sana..
Huyu ni adui mkubwa wa haki
Anaendekeza tumbo hadi aibu..
 
Kwani sheria ya uanzishaji/katiba ya/za chama/vyama ya/vya siasa inasemeje kuhusu nafasi ya Mwenyekiti mwenye tuhuma kuendelea na nafasi yake?
Ni vizuri kujiepusha kumtaja taja/kufanya utetezi ambao pengine unaweza kuathili maamuzi ya kesi iliyoko mahakamani.
 
 
This man is a stupid traitor!
 
Bado najiuliza zitto kwa nini anakomaa kusema mbowe aombewe msamaha na si kulaumu waliompa kesi? Au zitto anaamini mbowe ni gaidi?

Anataka kutumia hili sakata la Mbowe kama mtaji wa kisiasa. Ana makubaliano na ccm ili kuhadaa umma kuwa anafanya siasa safi, wakati huohuo ni kumpandisha chat chief Hangaya kuwa ni mtu mwenye upendo na huruma. Halafu baada ya hiyo movie Zito alipwe pesa nyingi, sambamba na chama chake kupewa upendeleo na dola dhidi ya CDM. Lengo hapa ni kuchafua taswira ya CDM, ACT wafanywe ndio mbadala wa CDM kwa kufanya siasa zinazotakiwa na CCM.
 
Kwanini chadema wakiambiwa ukweli huwa wanafura sana?
 
Sisi chadema tunataka mbowe akae jela hadi siku tukishinda kesi,, hatuna haraka hata kesi ikichukua miaka 10,sawa tu [emoji1745]

Miaka kumi michache, hata hiyo kesi ifanyike miaka 100 ni sawa tu, lakini huo upuuzi uitwao msamaha hapana. Msamaha wataomba wasiojua haki zao.
 
YEYE AMEFANYA juhudi gani binafsi za (KUONDOA UKURUTU USONI) MWAKE ???[emoji1787][emoji849][emoji55]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu Mzee Bulembo akikusikia unamnanga mkwe wake, mtaonana wabayaa[emoji1787][emoji1787]
 
Zitto punguza shobo basi
Jamaa ni mfano hai wa wanasiasa wachumia tumbo.
Plea bargain anayotaka mbowe afanyye ni very controversial kwa kesi ya Ugaidi ,maana itamfanya mbowe aadmitt kuwa alifanya ugaidi hata kama hakuhusika na records zitamtambua hivyo for the rest of his life .mtu makini na innocent hawezi kukubali hili lifanyike .
Nilitegemea Zitto atahakikisha mahakama inatenda haki ili kama mbowe ameonewa awe huru kwa mujibu wa sheria .
 
Kifupi anachofanya ayatollah zitto ni kuhamisha mada na mdundo wa mgogoro ndani ya.act kwa kuitumia chadema
 

Defendant akitaka kufanya plea bargaining anafanya na prosecutors, sio President!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…