Zitto Kabwe: Wahariri waulizeni CHADEMA wana mikakati gani ya kumtoa Mbowe jela

Kwamba Zitto haoni sio tu jitihada za kumtoa Mbowe jela, bali harakati nzima za kudai haki zinazofanywa na CDM tangu 1992?. Ni kitu gani bado CDM kama chama hawajafanya ili kuikomboa TZ?
Malofa wanataka kuikomboa nchi gani?
Kwa hiyo malofa ndio wenye nchi na watawala ni mabeberu au?

Ukombozi gani unatafutwa wakati nyerere alimaliza hiyo kazi?

Yangu ni hayo tu.
 
Hapo kunakitu nyuma ya pazia, kwamba zitto hanangea na mbowe namna ya kumtoa maabusu... kupitia mgogo wa msamaha wa Rais,
Kwa nini asiungane na chadema kuangalia, namna bora ya kumsaidia......

Anyway zitto hanaweza kuwa na madhaifu mengi. Ila kwa ili tuangalie UTU..
Mbowe ni baba mwenye familia then vilevile, ni mwenyekiti wa chama ... hapa tuache uchama
Kwanza tuangalie ishu ya familia.. msimamo wa familia upi??? Then tuangalie maslahi ya Chama kwenye hiyo case, Ikumbukwe chama siyo mtu ni kikundi....
 
Ahaaaa mkuu umenifurahisha
 
Zitto Kabwe ametoa ufafanuzi kwamba yeye anamtetea Freeman Mbowe kama kaka yake na siyo kama mwenyekiti wa Chadema.

Mbowe amenilea amesema Zitto.

Nadhani makamanda wa Ufipa sasa mmeelewa.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kamwambia anahitaji kutetewa au shobo zake tu?
 
Wahariri pia wasisahau kumuuliza zotto kabwela kuwa ana mpango gan juu ya mr. Ayub Hamad? Nae tusikie maoni yake juu ya mwanachama wake
 
Mwanzo kabisa namjua Zitto niliamini takuwa kama yeye ila kabadirika kawa mchumia tumbo hata siwezi kuiga mfano kwake hakika amekuwa mwanasiasa uchwara
 
Zitto aachane na mambo ya Mbowe/Chadema kwani hayamuhusu yeye aangalie ndoa yao na ccm pamoja na Tiss anaowatumikia.
 
Reactions: Pep
Aiche sheria ichukue mkondo wake. Kesi haiwezi kuachwa hivihivi, mpaka DPP ndiye aseme serikali haina nia ya kuendelea nayo. Otherwise, haki itaonekanaje imetendeka? Hata mimi ningependa Mbowe asikae ndani, lakini kama mdau wa sheria ngoja mahakama ifanye kazi yake. Hoja hapa ingekuwa kuiomba mahakama isitetereke katika kutenda haki kuliko kutafuta njia ya mkato.
 
Ni mpuuzi sn Zitto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…