Zitto Kabwe: Wanaoliunganisha Taifa ni Taifa Stars na KKKT

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
3,045
Reaction score
3,389
Habari wakuu,

Zitto Kabwe ametoa kauli nzito sana ambayo aliichapisha ktk mtandao wa Twitter (X).

Alisema, 'Nchi hii waunganisha Taifa ni Taifa Stars na KKKT ..."

Je ni busara kwa kiongozi mkubwa wa chama cha siasa kama yeye kutoa kauli kama hiyo?

Una maoni gani kuhusu kauli hiyo?


 
Ni maoni yake.. Yaheshimiwe..[emoji23] lakini kumbuka huyu ni supika tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ€“ Ajabu sana. Maoni ya hovyo tena ya kidini na kibaguzi kutoka kwa mtu makini na kiongozi wa chama
 
Mzee Makamba ni KKKT πŸ˜‚πŸ˜‚πŸŒŸπŸ”₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…