Zitto Kabwe: Wanaoliunganisha Taifa ni Taifa Stars na KKKT

Zitto Kabwe: Wanaoliunganisha Taifa ni Taifa Stars na KKKT

Maana ya zito ni kwamba KKKT walitamka Arusha mbele ya rais kwamba wanamuunga mkono rais kwenye hili suala la uwekezaji wa bandari
 
Mi mlutheli ila mpaka mtu mdini kama zitto kabwe ambaye hapendi ukristo hata kidogo ,anakusifia.., JUA KUNA MAHALI KUNA SHIDA KKKT
Msimamo wa KKKT hauna shida yoyote bali Zitto anasumbuliwa na udini na anaiona serikali iliyoko madarakani ni ya Kiislam. Ameumizwa sana na upinzani dhidi ya mkataba wa bandari na anauona unaongezewa nguvu na madhehebu ya kikristo. Ameumizwa zaidi na waraka wa TEC. Kazi anayofanya sasa ni kupotosha kuchonganisha madhehebu ya Kikristo na kuaminisha umma kuwa KKKT hawaungi mkono waraka wa TEC. Hakuna tofauti kati ya TEC na KKKT. Baada ya TEC kutoa waraka KKKT hawakua na haja ya kutoa waraka kama huo wa TEC. Walitumia fursa ya mkutano wao kumkumbusha tu rais kuwa viongozi wa dini zote walikwishamletea maoni yao ambayo hawajapata jibu lolote. Bila shaka yoyote hayo hayo maoni ndiyo TEC wameandikia waraka kuwafahamisha waumini wao na umma kwa ujumla baada ya kujiridhisha kuwa serikali ilikuwa imeyapuuza na ilikuwa na inaendelea na mabadiliko ya sheria.
 
Popote alipo Mpendwa wetu Zitto Kabwe namtangazia Ubatizo kwa Uwezo wa Roho Mtakatifu na Mungu wa mbinguni ambariki sana

Kuitambua na Kuitangaza Injili ya Yesu Kristo katika Dunia ya Leo ni Jambo kubwa sana Mungu wa mbinguni mbariki Zitto Kabwe

Yesu alisema, Enendeni Ulumwenguni Mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe mkiwafundisha na Kuwabatiza Kwa Jina la Baba, Mwana na Roho Mtakatifu amen!
Hawazi kusema amina majini na mizimu yake ikaja ikafa. Kumbuka Zitto ni mchawi fulani ivi wala sio mtu makini wa kumuwazia
 
Back
Top Bottom