Citizen_37
JF-Expert Member
- Jun 29, 2023
- 957
- 1,124
Ameona atumie njia hii kuleta chuki baina ya KKKT na TEC......Hakuna KKKT anayeunga mkono mazingaombwe yanayoendelea.Habari wakuu,
Zitto Kabwe ametoa kauli nzito sana ambayo aliichapisha ktk mtandao wa Twitter (X).
Alisema, 'Nchi hii waunganisha Taifa ni Taifa Stars na KKKT ..."
Je ni busara kwa kiongozi mkubwa wa chama cha siasa kama yeye kutoa kauli kama hiyo?
Una maoni gani kuhusu kauli hiyo?
View attachment 2742729
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app