Zitto Kabwe: Wanaoliunganisha Taifa ni Taifa Stars na KKKT

Habari wakuu,

Zitto Kabwe ametoa kauli nzito sana ambayo aliichapisha ktk mtandao wa Twitter (X).

Alisema, 'Nchi hii waunganisha Taifa ni Taifa Stars na KKKT ..."

Je ni busara kwa kiongozi mkubwa wa chama cha siasa kama yeye kutoa kauli kama hiyo?

Una maoni gani kuhusu kauli hiyo?

View attachment 2742729

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Bwege sana huyo Muha
 
Huyo ameshafilisika kisiasa ni wa kumpuuza, anatafuta political mileage tu.
 
Hapo January na Mwigullu wataambulia kura za KKKT na wale Siasa kali akina Ponda tu [emoji3][emoji3][emoji23][emoji91][emoji93][emoji209]
Rais wa Nchi atapatikana yule mwenye maslahi mapana ya Nchi hii bila ya kuwaza dini, kabila wala eneo.

Kama udini unampeleka mtu kuwa Rais sasa hivi Slaa na Lipumba wangekuwa ma Rais wastaafu.

Tanzania ni Nchi ya amani na upendo, jitihada zenu za kupachika mitafaruku kwny jamii zinapuuzwa mara zote ila kwa kuwa akili ni haba mnaishia kulalamika kura kuibiwa
 
Habari wakuu,

Zitto Kabwe ametoa kauli nzito sana ambayo aliichapisha ktk mtandao wa Twitter (X).

Alisema, 'Nchi hii waunganisha Taifa ni Taifa Stars na KKKT ..."

Je ni busara kwa kiongozi mkubwa wa chama cha siasa kama yeye kutoa kauli kama hiyo?

Una maoni gani kuhusu kauli hiyo?

View attachment 2742729

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
ACT Wazalendo, poleni sana kwa kuwa na Kiongozi mkuu wa chama ambaye ni mchumia tumbo, mnafiki, msaliti, mbinafsi, mdini, na mamluki kama Zitto
 
Rais wa Nchi atapatikana yule mwenye maslahi mapana ya Nchi hii bila ya kuwaza dini, kabila wala eneo.

Kama udini unampeleka mtu kuwa Rais sasa hivi Slaa na Lipumba wangekuwa ma Rais wastaafu.

Tanzania ni Nchi ya amani na upendo, jitihada zenu za kupachika mitafaruku kwny jamii zinapuuzwa mara zote ila kwa kuwa akili ni haba mnaishia kulalamika kura kuibiwa
Slaa ni Padre na Lipumba ni Mujahideen tena alikuwa anacheza kareti Msikitini hawa kamwe wasingekuwa Marais

Hii kauli ya Zitto Kabwe tutaijadili kesho kwenye Jumuiya 🤣😂🔥

Jumaa Mubarak 😀
 
Hayo ni mawazo yake lakini sio kweli kabisa, walaka wa KKKT walio toa kwa Raisi uligawa watu zaidi ya ule wa TEC, kwenye taifa stars pia hua bado kunagawa watu kwa uSimba na uyanga kulingana na idadi ya wachezaji walioitwa kutoka timu husika, sasa yeye sijui alikua anawaza nini kuandika hivyo
 
Habari wakuu,

Zitto Kabwe ametoa kauli nzito sana ambayo aliichapisha ktk mtandao wa Twitter (X).

Alisema, 'Nchi hii waunganisha Taifa ni Taifa Stars na KKKT ..."

Je ni busara kwa kiongozi mkubwa wa chama cha siasa kama yeye kutoa kauli kama hiyo?

Una maoni gani kuhusu kauli hiyo?

View attachment 2742729

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app

Wanasiasa sasa baada ya Taifa Stars kufuzu AFCON....
 
Back
Top Bottom