Amesema ukweli gani?
Mkataba wa bandari ni mbovu, kila swali wakiulizwa kuhusu ule mkataba wanakuja na majibu ya kubahatisha kila siku, akitokea mmoja akawaambia ukweli ule mkataba mnaoshindwa kuutetea ni mbovu huyo hawezi kuwa analigawa taifa, taifa pekee litakalogawika kwa mtu au taasisi kusema ukweli ni taifa la wajinga, na hilo sio Tanganyika.
Na taifa pekee litakalounganishwa na kauli ya kinafiki kama ya Zitto, inayokumbatia uovu na kuufumbia macho, again ni taifa la wajinga pekee, ila sio Tanganyika.