Zitto Kabwe: Wanaoliunganisha Taifa ni Taifa Stars na KKKT

Zitto Kabwe: Wanaoliunganisha Taifa ni Taifa Stars na KKKT

Nani alowahi kutoa maoni msiyakosoe - ninyi ni waathirika wa kiafrika.

# Why msiheshimu mawazo ya MTU?
# Taifa Stars imeundwa na wakristo tu?
# Taifa Stars imeundwa na waislamu tu?
 
Zitto hana tofauti na faiza au the boss! Zitto ni mdini namba moja hapa nchini…kinacho muuma ni TEC kumsema muislam mwenzie…
Kipindi cha Magufuli alikuwa anaongea hadi anataka kukatika mishipa lakini sasa hivi sasa yuko kimya kwa kuwa nchi inaongozwa na muislam mwenzie hahahaha!
Ni bora kufa kuliko kumuamini mtu kama zitto kwenye jambo lolote
 
Kwamba kati ya mnyika na hawa wa ccm deo sanga, kibajaji, babu tale nani mwenye uelewa zaidi
Exile tofautisha uelewa na kuugua ugonjwa wa akili. Hao wana CCM wenzetu ule ni ushabiki tu. Ila zito na wenzake yaani wale ni vichaa kabisa. Yaani hizo nakugemea habari za ndani kabisa. Yaani mfano zito kuna kipindi huwa anafungiwa na familia yake anakuwa zezeta udenda akipona wanamtoa. Tunawapa pole sana zito na wenzake
 
Zitto hana tofauti na faiza au the boss! Zitto ni mdini namba moja hapa nchini…kinacho muuma ni TEC kumsema muislam mwenzie…
Kipindi cha Magufuli alikuwa anaongea hadi anataka kukatika mishipa lakini sasa hivi sasa yuko kimya kwa kuwa nchi inaongozwa na muislam mwenzie hahahaha!
Ni bora kufa kuliko kumuamini mtu kama zitto kwenye jambo lolote
The Boss 😀😀😀
 
Hii kauli ya hawa waliotajwa kuliunganisha Taifa ni kisa wale wengine wa upande wa pili walikuja na waraka wa 'vox populi' kupinga ama?
 
Habari wakuu,

Zitto Kabwe ametoa kauli nzito sana ambayo aliichapisha ktk mtandao wa Twitter (X).

Alisema, 'Nchi hii waunganisha Taifa ni Taifa Stars na KKKT ..."

Je ni busara kwa kiongozi mkubwa wa chama cha siasa kama yeye kutoa kauli kama hiyo?

Una maoni gani kuhusu kauli hiyo?

View attachment 2742729
Ombi Kwa Mods: Nikianzisha Uzi wangu Wenye kichwa cha habari "ZITTO KABWE AMPOKEA YESU KUWA BWANA NA MWOKOZI WAKE" msije mkaupiga pin.
 
Nani alowahi kutoa maoni msiyakosoe - ninyi ni waathirika wa kiafrika.

# Why msiheshimu mawazo ya MTU?
# Taifa Stars imeundwa na wakristo tu?
# Taifa Stars imeundwa na waislamu tu?
Kwa hiyo Taifa stars imeundwa na KKKT?
 
Hahaahaaaa kwahiyo waislam, madhehebu mengine ya kikristo, wapagani, wabudha etc wao ndio wanaligawa taifa 😀😀😀
Dalili ya kuchanganyikiwa hiyo awahishwe milembe
 
Amesema ukweli gani?

Mkataba wa bandari ni mbovu, kila swali wakiulizwa kuhusu ule mkataba wanakuja na majibu ya kubahatisha kila siku, akitokea mmoja akawaambia ukweli ule mkataba mnaoshindwa kuutetea ni mbovu huyo hawezi kuwa analigawa taifa, taifa pekee litakalogawika kwa mtu au taasisi kusema ukweli ni taifa la wajinga, na hilo sio Tanganyika.

Na taifa pekee litakalounganishwa na kauli ya kinafiki kama ya Zitto, inayokumbatia uovu na kuufumbia macho, again ni taifa la wajinga pekee, ila sio Tanganyika.
Good morning DenooJ
 
TEC_Madebe matupu
JamiiForums259544699.jpg
 
Habari wakuu,

Zitto Kabwe ametoa kauli nzito sana ambayo aliichapisha ktk mtandao wa Twitter (X).

Alisema, 'Nchi hii waunganisha Taifa ni Taifa Stars na KKKT ..."

Je ni busara kwa kiongozi mkubwa wa chama cha siasa kama yeye kutoa kauli kama hiyo?

Una maoni gani kuhusu kauli hiyo?

View attachment 2742729
Yuko sahihi,wale wengine ni wapuuzi mda wote kushindana na Serikali na wanajikutaga spesho sana.
 
Back
Top Bottom