Zitto Kabwe: Wanaoliunganisha Taifa ni Taifa Stars na KKKT

Zitto Kabwe: Wanaoliunganisha Taifa ni Taifa Stars na KKKT

Habari wakuu,

Zitto Kabwe ametoa kauli nzito sana ambayo aliichapisha ktk mtandao wa Twitter (X).

Alisema, 'Nchi hii waunganisha Taifa ni Taifa Stars na KKKT ..."

Je ni busara kwa kiongozi mkubwa wa chama cha siasa kama yeye kutoa kauli kama hiyo?

Una maoni gani kuhusu kauli hiyo?


View attachment 2742729
Ni vita kati ya kambi mbili za vijana wenye hamu ya Urais 2030. Zzk kagonga upande
 
kama lilivyomgharimu Mzee Slaa?

mnajikuza sana kwa kujipa kura ya turufu ya kuwaamulia watu cha kufanya hadi mnakuwa mazuzu
Siyo kujikuza ukweli ndiyo huo Zitto ni mdini sana anachuki na ukristo tofauti na viongozi wengine wa kisiasa walio waislamu.
 
Sio ya kuwaamini sana Kama ni account yake sidhani Kama anaweza sema haya
Waswas wako nn hapo mkuu? Unganisha dot mzee... Taifa stars ameweka kama boshen ila kkkt ndie mlengwa. Kkkt ndio hawajaleta chokochoko za DP world ambapo zito ni sehem ya serikali ya utawala!! So ulitegemea awa include na Tec kweny kuliunganisha Taifa 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mi mlutheli ila mpaka mtu mdini kama zitto kabwe ambaye hapendi ukristo hata kidogo ,anakusifia.., JUA KUNA MAHALI KUNA SHIDA KKKT
Kkkt hawajatoa waraka wa kupinga kilichopo ndan ya mkataba wa DP world!! That's why....
 
Ana maana hata raisi haliynganishi taifa, na watanzania wengine wote hawaliunganishi taifa ikiwemo ACT...
 
Back
Top Bottom