Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muhimu koo lisikauke[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mchana nitaongeza usijali.
Ila waislam na wakristo, CCM na ACT na Chadema wanaligawa taifa.Habari wakuu,
Zitto Kabwe ametoa kauli nzito sana ambayo aliichapisha ktk mtandao wa Twitter (X).
Alisema, 'Nchi hii waunganisha Taifa ni Taifa Stars na KKKT ..."
Je ni busara kwa kiongozi mkubwa wa chama cha siasa kama yeye kutoa kauli kama hiyo?
Una maoni gani kuhusu kauli hiyo?
View attachment 2742729
Huyo hanaga akili 🚮🚮Habari wakuu,
Zitto Kabwe ametoa kauli nzito sana ambayo aliichapisha ktk mtandao wa Twitter (X).
Alisema, 'Nchi hii waunganisha Taifa ni Taifa Stars na KKKT ..."
Je ni busara kwa kiongozi mkubwa wa chama cha siasa kama yeye kutoa kauli kama hiyo?
Una maoni gani kuhusu kauli hiyo?
View attachment 2742729
Sitashangaa.Wengine wanasema FF ni mama Abdul
Hizo parameters 4 ulizotoa lazima jibu sahihi liwemo humo.Ndugu zangu, Zitto Kabwe kila mwenye akili timamu anajua ni mtu wa aina gani. Kauli kama hizi hadharani mbaya zaidi akiwa kiongozi mkuu wa chama ni picha halisi ya ni mtu wa namna gani.
Hii kauli ina tafsiri nyingi sana ikiwemo tafsiri kuu ya undumilakuwili na wazi ameonesha:
1) Anapinga waraka wa TEC
2) Ni mdini na KKKT ni kichaka tu
3) Anaunga mkono IGA kwa kificho
4) ACT ni kivuli cha chama tawala
Binafsi sielewi kwanini CCM wasimteue Zitto kuwa waziri kwenye serikali yao wakati ni mwenzao na kila mtu anaona hivyo. Mpeni kazi asitupotezee muda kwenye siasa za upinzani.
MBOWE, SLAA, LISSU sio wadini? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Zitto ni mdini sana na kama ana ndoto za kuja kungombea uraisi hili litamgharimu sana.
We takataka kama yeye tuAna furaha ya Taifa Stars kufuzu.
Hio KKKT ipo kweny dini gani?Zitto ni mdini sana na kama ana ndoto za kuja kungombea uraisi hili litamgharimu sana.
Ukisema kwa Dar es Salaam mvua inanyesha Kinondoni, automatically hainyeshi sehemu nyingine zisizo kinondoni (ikiwemo Ilala maana nayo ipo Dar es Salaam)Kwani ukisema Kinondoni Mvua inanyesha maana yake Ilala hainyeshi ?
Naunga mkono wazo, anzisha na hao Mod watakuwa wameshakupataOmbi Kwa Mods: Nikianzisha Uzi wangu Wenye kichwa cha habari "ZITTO KABWE AMPOKEA YESU KUWA BWANA NA MWOKOZI WAKE" msije mkaupiga pin.
Udini sio kuwa na imani fulani, ila kuitumia imani yoyote ya dini katika kujenga hoja zako. Hata kama ZZK angesema Wakatoliki wapo makini katika kuongoza nchi, bado hapo ni udiniLakini yeye ni Muslim
Habari wakuu,
Zitto Kabwe ametoa kauli nzito sana ambayo aliichapisha ktk mtandao wa Twitter (X).
Alisema, 'Nchi hii waunganisha Taifa ni Taifa Stars na KKKT ..."
Je ni busara kwa kiongozi mkubwa wa chama cha siasa kama yeye kutoa kauli kama hiyo?
Una maoni gani kuhusu kauli hiyo?
View attachment 2742729
Yaani serikali ifanye ujinga halafu watu wakae kimya?Yuko sahihi,wale wengine ni wapuuzi mda wote kushindana na Serikali na wanajikutaga spesho sana.