Zitto Kabwe: Wanaoliunganisha Taifa ni Taifa Stars na KKKT

[emoji1787][emoji1787]sura yangu naogopa kuianika kwenye hadhara ya JF!
Utanitumia pm picha ya chupa ya maji.

Ukiianika hapa,si ulisikia mama yupo anapita humu..
Akikuona[emoji1787]na unavyomwita kilaza[emoji23]
 
Habari wakuu,

Zitto Kabwe ametoa kauli nzito sana ambayo aliichapisha ktk mtandao wa Twitter (X).

Alisema, 'Nchi hii waunganisha Taifa ni Taifa Stars na KKKT ..."

Je ni busara kwa kiongozi mkubwa wa chama cha siasa kama yeye kutoa kauli kama hiyo?

Una maoni gani kuhusu kauli hiyo?

View attachment 2742729
Hili nalo njaa mbaya Sana,tusiwalaumu wakina dada wanaojiuza Wana njaa kama hili dubwasha
 
Habari wakuu,

Zitto Kabwe ametoa kauli nzito sana ambayo aliichapisha ktk mtandao wa Twitter (X).

Alisema, 'Nchi hii waunganisha Taifa ni Taifa Stars na KKKT ..."

Je ni busara kwa kiongozi mkubwa wa chama cha siasa kama yeye kutoa kauli kama hiyo?

Una maoni gani kuhusu kauli hiyo?

View attachment 2742729
Zito ni mdini Kwa hiyo sisi wasabato na mashekhe hatuunganishi taifa
 
Utanitumia pm picha ya chupa ya maji.

Ukiianika hapa,si ulisikia mama yupo anapita humu..
Akikuona[emoji1787]na unavyomwita kilaza[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Habari wakuu,

Zitto Kabwe ametoa kauli nzito sana ambayo aliichapisha ktk mtandao wa Twitter (X).

Alisema, 'Nchi hii waunganisha Taifa ni Taifa Stars na KKKT ..."

Je ni busara kwa kiongozi mkubwa wa chama cha siasa kama yeye kutoa kauli kama hiyo?

Una maoni gani kuhusu kauli hiyo?

View attachment 2742729

Maoni ni kuacha kuzungumzia alichoandika.
[emoji777][emoji777]
Period!
 
Mbona zito anakuwa mpuuzi kiasi hiki? Sasa atawapataje wanachama ambao anahisi wanaligawa taifa. Hicho chama chake hakitakaa kipate exposure kubwa kama anakuwa mpuuzi hivi
 
Habari wakuu,

Zitto Kabwe ametoa kauli nzito sana ambayo aliichapisha ktk mtandao wa Twitter (X).

Alisema, 'Nchi hii waunganisha Taifa ni Taifa Stars na KKKT ..."

Je ni busara kwa kiongozi mkubwa wa chama cha siasa kama yeye kutoa kauli kama hiyo?

Una maoni gani kuhusu kauli hiyo?

View attachment 2742729
Inawezakana FaizaFoxy ni Zitto.
 
M

mathehebu mangapi hawajatoa , mbona anasifia kkkt tu?
Cz kkkt walikua live na Rais na kutoa msimamo wao, so zito kadaka hilo pekee!! NB: Zito ni mzee wa fursa na ni mdau wa DP world!
 
Back
Top Bottom