johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Zamu ya KKKT by Lowassa 😀😀🔥Shida ipo wapi katika kauli hiyo? Mi sioni cha kujadili hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zamu ya KKKT by Lowassa 😀😀🔥Shida ipo wapi katika kauli hiyo? Mi sioni cha kujadili hapo.
We tuwaachie hiyo kazi, mimi nawe kazi inajulikana😂Ujuaji ukizidi
Kumbe yule Mzee nilijua ni 'Hostadh' fulani 'Yusuph' inatumika kotekote?Mzee Makamba ni KKKT 😂😂🌟🔥
Kasali sana kwa mchungaji Hiza Hapo KKKT Kijitonyama 😀Kumbe yule Mzee nilijua ni 'Hostadh' fulani 'Yusuph' inatumika kotekote?
Habari wakuu,
Zitto Kabwe ametoa kauli nzito sana ambayo aliichapisha ktk mtandao wa Twitter (X).
Alisema, 'Nchi hii waunganisha Taifa ni Taifa Stars na KKKT ..."
Je ni busara kwa kiongozi mkubwa wa chama cha siasa kama yeye kutoa kauli kama hiyo?
Una maoni gani kuhusu kauli hiyo?
View attachment 2742729
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile
Lengo lako ni nini hasa? Unataka kuichonganisha KKKT na madhehebu mengine? Snitch pro max.Habari wakuu,
Zitto Kabwe ametoa kauli nzito sana ambayo aliichapisha ktk mtandao wa Twitter (X).
Alisema, 'Nchi hii waunganisha Taifa ni Taifa Stars na KKKT ..."
Je ni busara kwa kiongozi mkubwa wa chama cha siasa kama yeye kutoa kauli kama hiyo?
Una maoni gani kuhusu kauli hiyo?
View attachment 2742729
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
😂😂 Nimeshangaa kwenye Afcon Kanisa limeingiaje?Lengo lako ni nini hasa? Unataka kuichonganisha KKKT na madhehebu mengine? Snitch pro max.
Zitto alisha ishiwa akili siku nyingi. Ni mdini na mshirikina, alishasema atamgeuza mtu kuwa panya.
Lakini kinachobomoa tz kugawa bandari za watu , hili aliendi kumuacha mtu salamaHabari wakuu,
Zitto Kabwe ametoa kauli nzito sana ambayo aliichapisha ktk mtandao wa Twitter (X).
Alisema, 'Nchi hii waunganisha Taifa ni Taifa Stars na KKKT ..."
Je ni busara kwa kiongozi mkubwa wa chama cha siasa kama yeye kutoa kauli kama hiyo?
Una maoni gani kuhusu kauli hiyo?
View attachment 2742729
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Kuna ukweli kabisaHabari wakuu,

kama lilivyomgharimu Mzee Slaa?Zitto ni mdini sana na kama ana ndoto za kuja kungombea uraisi hili litamgharimu sana.
Hapo January na Mwigullu wataambulia kura za KKKT na wale Siasa kali akina Ponda tu 😀😀😂🔥🌟🐼Haki ulizonazo kuwa na uhuru wa kuzungumza ndio hizo hizo Zitto anazo.
kama una hoja ya kupinga njoo na hoja kuonesha kuwa si kweli kuwa KKKT na Taifa Stars wanaliuganisha Taifa.
Serikali ikimpiga mtu kuzungumza mnakuja na kelele z kupigania uhuru wa kujieleza wakati nyie wenyewe hamna staha ya kuvumilia kusikia msiowapenda nao wakizungumza
Huko KKKT Kutakuwa na shida fulaniHabari wakuu,
Zitto Kabwe ametoa kauli nzito sana ambayo aliichapisha ktk mtandao wa Twitter (X).
Alisema, 'Nchi hii waunganisha Taifa ni Taifa Stars na KKKT ..."
Je ni busara kwa kiongozi mkubwa wa chama cha siasa kama yeye kutoa kauli kama hiyo?
Una maoni gani kuhusu kauli hiyo?
View attachment 2742729
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
mie Rafiki yangu ni KKKT na anaunga Mkono!Ameona atumie njia hii kuleta chuki baina ya KKKT na TEC......Hakuna KKKT anayeunga mkono mazingaombwe yanayoendelea.
Tumempuuzaje wakati kila anacho post kinaletwa huku kujadiliwa, ingia wewe kwny page yako post unachotaka uone kama kitakuwa mjadala ?Wewe ulitegemea atasemaje shehe?
Ameshagundua Watanzania wameshampuuza na kumuona ni 'nyoka wa mapambo' hivyo anatafuta kuzungumziwa.
Shida ilianzia kwenye uchaguziHuko KKKT Kutakuwa na shida fulani
Kwani ukisema Kinondoni Mvua inanyesha maana yake Ilala hainyeshi ?Kwa hivyo waislamu hawaunganishi nchi?