True ajae Nadhani atamauliza uraisi wake kwa kulipa fidia maana kesi za kuishtaki serikali zitakuwa hazina idadi kuanzia waliobomolewa nyumba zao,walioporwa hela zao bureau de change,watumishi nk.Ila tuendako tutakuja kulipa fidia kubwa sana na itakuwa hasara kwa nchi na sio .......
Vipi wawezavipi wakamata watoa rushwa wakae ndani miaka 4 hali waliopokea rushwa kina change,ngeleja,wako nje au sababu ni wasukuma.Angeainisha kwa kuorozesha zipi za kubambikwa na zipi sio
Absolutely true
Na ndiyo yanayoikuta nchi hii hivi sasa, huyo Bwana anaagiza wapinzani wake wa kisiasa wakamatwe na wabambikiwe kesi za uhujumu uchumi, lakini wanajua kwenye mahakama zetu hawatashinda kesi hizo...........
Kutokana na ushahidi unaotakiwa huko mahakamani, kwa hiyo amekuja na " gia" ya kuwaonea huruma watuhumiwa hao, kwa hiyo amekuja na sheria za kutaka "kuwakamua" watuhumiwa hao kwa kuwalazimisha wakiri wenyewe ili watoke magerezani huko na walipe mabilioni ya pesa
Huyu Zitto anatumiaga matukio kupata ufuasi (political popularity). Taja hao waliobambikiwa kesi. Tangaza Sera za chama chako kuliko unafiki!
Kwani huyo Zitto ni lawyer?!
Tanesco wameshindwa kesi kule Hongkong wanatakiwa kulipa pesa nyingi na pesa hakuna, wafadhili wanawatusi kwa kuwaita mabeberu wameminya misaada kwa Tanzania ndiyo maana wamebuni mbinu hiyo wapate kuchukua pesa kwa hao watuhumiwa wa uhujumu uchumi,
Kumbakia kesi au kubambikiwa kesi hakuhitaji lazima uwe lawyer kujua hilo hata wa darasa la pili anagundua kesi ya kubambikiwaKwani huyo Zitto ni lawyer?!
Mfano mtu katuhumiwa kwa kosa moja au mawili cha ajabu watengeneza kesi wanamjazia kesi za kujibu 400 au hata zaidi ukizisoma kesi zenyewe hazina tofauti zaidi ya kubadili sentesi tu, utitiri wa kesi unatumika vibaya kuwachanganya watuhumiwa, na je?wale wanaotumika kuwabambikia kesi wao watachukuliwa hatua gani? Kumtesa mtu miaka 4 mwingine ni masikini kama Michael Wambura atarudisha pesa ipi? akaotoe wapi?au wauze nyumba zao?Hizi kesi hazina ushahidi nyingi za kubambikiwa wanajua watashindwa thus miaka 4 sasa wamekosa ushahidi,kama ni kesi halali isingechukua hata mwezi kuupata ushahidi kuwatia hatiani.Kuepuka aibu ya kushindwa watawachomoa vipi ndo wamekuja na plan ya waandike barua kukiri walipe Pesa,kuomba msamaha tyr ni kukiri kosa bila kujali umebambikwa sababu uhuru wako na haki yako imeporwa.Haya mambo yanaaibisha .Na pia yatakuwa yakitumika kuumiza watu ili wachomolewe Pesa kama chanzo cha mapato .Unakamatwa unabambikwa unachomolewa unafilisiwa.
Zitto ni mnafki sana!Watu sio maji kuwa hayana idadi/hayahesabiki.
Ni vizuri ataje majina ya watu anaodai wamebambikiwa kesi ya uhujumi uchumi ili tuwajue kuliko kuongea lugha za kisiasa.
Kinyume cha hivyo ni kutafuta tambo za kisiasa!
Utawala huu wanaweza hata kuwabambikia kesi familia yako yote pia wakavhukua mali ulizowaachia cha msingi ni kuomba mungu waache hii Dhambi ya kuwabambikia watu kesi kienyeji kwa njia haramuNingekuwa mzee heri nifie jela sina cha kupoteza kuliko kupoteza Mali ya familia sitoi hata Mia.Heri niiachie familia ile Maisha yao yote kuliko kufilisiwa.
Haina uhusiano na kuwabambikia watu kesiZitto ni mnafki sana!
Waliobambikiwa ni wengi hakuna haja ya kutaja list kuogea in general ndiyo vizuri zaidi wapate kujua watanzania wa sasa siyo wajinga wanajua sinema zote.Watu sio maji kuwa hayana idadi/hayahesabiki.
Ni vizuri ataje majina ya watu anaodai wamebambikiwa kesi ya uhujumi uchumi ili tuwajue kuliko kuongea lugha za kisiasa.
Kinyume cha hivyo ni kutafuta tambo za kisiasa!
Why didn't he do something to change it if he cared so much?
Tafadhali ilete tuuone huo unabii wa Nyerere wetu!!!Huwa nayakumbuka maneno ya Baba wa taifa. "Katiba ya Tanzania imempa madaraka makubwa sana Rais wa Tanzania. Siku akiingia madarakani mwendawazimu, tutapata shida". Hayo ni maneno ya Nyerere. Nitawaletea video clip, ninayo.
Hilo linajulikana wazi kuwa watu wengi wanababikiwa kesi, ni wajinga tu waliovaa miwani ya mbao ndiyo hawajui,Wewe angalia wanaambiwa watubu harafu walipe pesa ndiyo watoke hii inamaanisha hawana kesi ya kujibu bali zinatafutwa pesa zao tu!!!!.Watu sio maji kuwa hayana idadi/hayahesabiki.
Ni vizuri ataje majina ya watu anaodai wamebambikiwa kesi ya uhujumi uchumi ili tuwajue kuliko kuongea lugha za kisiasa.
Kinyume cha hivyo ni kutafuta tambo za kisiasa!
Na sera za ccm watu watubu watoe pesa ndiyo waachiwe ina sheria zetu zimeshindwa kutenda haki???HIZO NDIO SERA ZA ACT KTAFUTA NN KIMESMWA NISIMAMIE WAP ANGALAU NISIKIKE
Hatutajani majina hapa mwenyewe picha unaiona inavyokwenda watu miaka minne wamekosa ushahidi kabisa wameamua kuja na plan B ya kuomba watoe pesa wanunue uhuru wao ili watoke!!!!!.Amtaje mmoja