Zitto: Kesi nyingi za uhujumu uchumi ni za kubambika na kukomoa sasa wanatafuta hela. Nchi ya GANGSTERISM 100%

Wamelazimishwa kuununua uhuru wao.Jamaa ana roho mbaya Sana utadhani ataishi milele
 
Ha ha kuwa raisi wa ukoo wako mkuu!
Halafu hii kazi ya kuwa msemaji wa watanzania nani kakupa? Mi ni mtanzania sikumbuki kama nimekupa hiyo kazi.

Jisemee wewe peke yako.
 
Kutenda haki ni kutafuta ushahidi uliokamilika kisha wawahukumu kama sheria isemavo.Na sio kuwakamata watu kwanza kisha ndo utafutwe ushahidi hii ni kinyume na jamii iloyostaarabika
Hivi watu kama kina Rugemalila wasingeshikwa mpaka leo kwa subiri ushahidi watu kama akina Zitto wangekuwa wanasema nini majukwaani?
 
Hivi watu kama kina Rugemalila wasingeshikwa mpaka leo kwa subiri ushahidi watu kama akina Zitto wangekuwa wanasema nini majukwaani?

Washiwashike watu kwa matakwa ya wanasiasa bali kwa sheria .Sahihi ungetafutwa ushahidi ukamilike kwanza kisha wahukumiwe.Kuliko hii ya kutaka kuwalazimisha wanunue uhuru wao
 
Waweke muda wa kutafuta ushahidi usizidi mwezi mmoja. Hapa kwa kesi zisizo na dhamana.

Ukishindwa hapo mtu aachiwe huru ukipata ushahidi upelekwe mahakamani ndani ya mwezi tu,kesi imemalizika.
 
Only Tanzania kumkatata mtu bila kuwa na ushahidi kisha kutafuta ushahidi akiwa gerezani
 
Waweke muda wa kutafuta ushahidi usizidi mwezi mmoja. Hapa kwa kesi zisizo na dhamana.

Ukishindwa hapo mtu aachiwe huru ukipata ushahidi upelekwe mahakamani ndani ya mwezi tu,kesi imemalizika.

Lengo kuu huwa ni kuwakomoa wasioupande wao ili kuwafilisi hata kagame ndo utumia refer kwa kina Victoria ngabire,nk. ni sana ngumu kuupata ushahidi kwa kesi za kubambika hata ukikaa ndani miaka 60.
 
Mungu ni mwema, duniani kuna KARMA! Hakika nayeye siku moja atajibu hapahapa duniani.
 
Wamelazimishwa kuununua uhuru wao.Jamaa ana roho mbaya Sana utadhani ataishi milele
Tatizo ni washauri wake wakuu akina Bashite ambaye na yeye anashauriwa na Le mutuz na cyprian Musiba, Yaani mshauri wa Rais anakoteza ushauri toka kwa mtu mjinga kama cyprian Musiba kisha kwenda kumshauri Rais lazima yatokee kama hayo sasa
 
Only Tanzania kumkatata mtu bila kuwa na ushahidi kisha kutafuta ushahidi akiwa gerezani

Haya mambo unayapata rwanda na nchi za kidikteta na si kwa jamii iliyostaarabika kwao kesi zote zinadhaminika isipo kuwa mauaji napo wamekwenda mbele wanafikilia kuwapa dhamana.
 
Mkuu umeua
 
Washiwashike watu kwa matakwa ya wanasiasa bali kwa sheria .Sahihi ungetafutwa ushahidi ukamilike kwanza kisha wahukumiwe.Kuliko hii ya kutaka kuwalazimisha wanunue uhuru wao
Well Zitto hakuwa na mtazamo huo awali as far as he was concerned hao watu walikuwa na hatia and nothing else; au unataka nikuletee video akisema wazi kabisa hao wahusika wanastahili kuwa lupango na anaishangaa serikari kuwaacha kuwa huru.

Leo nini kimebadilika?
 
Tatizo ni washauri wake wakuu akina Bashite ambaye na yeye anashauriwa na Le mutuz na cyprian Musiba, Yaani mshauri wa Rais anakoteza ushauri toka kwa mtu mjinga kama cyprian Musiba kisha kwenda kumshauri Rais lazima yatokee kama hayo sasa

Waandamizi Waliomsaidia dikteta Wa algeria kuumiza watu wamelamba mvua,miaka 15 tawala zinabadilika jela ni kwa wote
 
Mungu ni mwema, duniani kuna KARMA! Hakika nayeye siku moja atajibu hapahapa duniani.
Malipo ni hapa hapa Duniani yupo wapi nyaulingo sasa? hana miguu hana jicho moja lakini enzi zake alitamba
 
Half a decade in jail ( miaka 5 jela) sijafanya kazi upelelezi bado unaendelea then paap jiwe linageuza mambo, sasa yeyote mwenye kesi ya uhujumu uchumi aandike barua ya kukiri kosa then alipe fedha. Kuna tofauti na Pirates wa Kisomali?
 
Ukakasi waliopokea rushwa wako nje kina change na ngeleja au sababu ni wasukuma.
 
Bora maana unaweza hata kukiri, then unafitiwa ukianza kulipa wanakugeuzia kibao, usilipe tena twende mahakamani....hiyo barua ya kukiri utaikana mahakamani?
Ningekuwa mzee heri nifie jela sina cha kupoteza kuliko kupoteza Mali ya familia sitoi hata Mia.Heri niiachie familia ile Maisha yao yote kuliko kufilisiwa.
 
Ha ha kuwa raisi wa ukoo wako mkuu!
Halafu hii kazi ya kuwa msemaji wa watanzania nani kakupa? Mi ni mtanzania sikumbuki kama nimekupa hiyo kazi.

Jisemee wewe peke yako.
Hata wewe jisemee mwenyewe kwani una roho mbaya unanufaika kupitia blackmail kuwakomoa watu gerezani ndiyo maana haujui ubaya wa kuwabambikia watu kesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…