mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Naona Michael Wambura waliamua tu kumnyoosha maana yeye binafsi anapendaga kesi balaa,kidogo tu ameenda kuanzisha kesi mahakamani.Mfano mtu katuhumiwa kwa kosa moja au mawili cha ajabu watengeneza kesi wanamjazia kesi za kujibu 400 au hata zaidi ukizisoma kesi zenyewe hazina tofauti zaidi ya kubadili sentesi tu, utitiri wa kesi unatumika vibaya kuwachanganya watuhumiwa, na je?wale wanaotumika kuwabambikia kesi wao watachukuliwa hatua gani? Kumtesa mtu miaka 4 mwingine ni masikini kama Michael Wambura atarudisha pesa ipi? akaotoe wapi?au wauze nyumba zao?
Nadhani akitoka huko hatatamani tena kuanzisha ma-kesi hovyo hovyo.