Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Halafu hapo hapo unasema watu wasishikwe bila ya ushahidi.Ukakasi waliopokea rushwa wako nje kina change na ngeleja au sababu ni wasukuma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu hapo hapo unasema watu wasishikwe bila ya ushahidi.Ukakasi waliopokea rushwa wako nje kina change na ngeleja au sababu ni wasukuma.
Half a decade in jail ( miaka 5 jela) sijafanya kazi upelelezi bado unaendelea then paap jiwe linageuza mambo, sasa yeyote mwenye kesi ya uhujumu uchumi aandike barua ya kukiri kosa then alipe fedha. Kuna tofauti na Pirates wa Kisomali?
Hao walioshikwa ushahidi upi umetumikaHalafu hapo hapo unasema watu wasishikwe bila ya ushahidi.
Kwa utawala Wa sheria labda ,wanaweza wakawa wamewekewa mtego wakiri ili wafilisiwe kabisa na kifungo juu hawana aibu hawa,wahuaji Wa akwilini kila mtu anajua ni polisi waliofyatua risasi leo chadema wamebambikwa watashindwa nn hawaBora maana unaweza hata kukiri, then unafitiwa ukianza kulipa wanakugeuzia kibao, usilipe tena twende mahakamani....hiyo barua ya kukiri utaikana mahakamani?
Get your perspective together ndani ya dakika kumi umesimama pande hili.Hao walioshikwa ushahidi upi umetumika
Get your perspective together ndani ya dakika kumi umesimama pande hili.
Huku unapinga kukamatwa kwa walio mahabusu kabla ya ushahidi kukamalika
Halafu ata dakika kumi nyingi unataka hakina Chenge na Ngeleja waende huko huko bila ushahidi wa makosa yao.
Which is which?
LolTwo thought in one action
Ni sahihi kwako kuwalazimsha watuhumiwa kukiri kosa na wanunue uhuru wao?Lol
Ndio kama akili za Zitto atasema chochote kutokana na upepo unapovuma.
Wa kulaumiwa ni yeye kwa kutucopia katiba ya udikteka Wa swahiba wake Dikteta Mao na kuipaste kama katiba ya nchi.100% za lawama zote zitabakia kwa mwalimu.Angeibadili alipoona hatari hio maana yaliyomo yalikuwepo.Aina hii ya katiba umfaa mtu mwenye hekima na busara.
Kwa utawala huu wa washauri kama Bashite na kikundi chake cha akina Le mutuz na cyprian Musiba Jerry muro na wenzao lolote linawezekana kwani hawana Utu hawamuogopi mungu.Kwa utawala Wa sheria labda ,wanaweza wakawa wamewekewa mtego wakiri ili wafilisiwe kabisa na kifungo juu hawana aibu hawa,wahuaji Wa akwilini kila mtu anajua ni polisi waliofyatua risasi leo chadema wamebambikwa watashindwa nn hawa
Kila fursa huwa na watu watakaonufaika nayowamemtengenezea DPP MCHONGO wa kuvuta pesa ndevu.
yeye mwenyewe mwalimu kawazulumu wananchi majumba yao na ikawa NHC mtu ukikutwa na khanga 50 wewe mhujumu uchumi. watu enzi zake walikuwa wakitupa vitu kutoka majumbani mwao ili wasikamatwe una friji tatu jela una mafuta ya kula debe 60 jela
Kwa utawala huu wa washauri kama Bashite na kikundi chake cha akina Le mutuz na cyprian Musiba Jerry muro na wenzao lolote linawezekana kwani hawana Utu hawamuogopi mungu.
dhambi itaitafuna sana tanzania ndio maana na kushangaza nchi tajiri lakini haonekani utajiri wake wananchi wanazidi kuwa mafukara maskini kudhulumiana kutesana ukiwa na haki yako kuipata mpaka uteseke au utoe chochote
From the outset wakati sakata lote bado bichi kabisa baada ya kusoma details zote matendo ya Rugemalila yalikuwa sio mazuri na unethical. Hila sikuwahi kuamini wanamakosa ya kisheria na it was obvious kwa yeyote mwenye kuangalia mambo kwa uhalisia badala ya hisia.Ni sahihi kwako kuwalazimsha watuhumiwa kukiri kosa na wanunue uhuru wao?