Zitto: Kesi nyingi za uhujumu uchumi ni za kubambika na kukomoa sasa wanatafuta hela. Nchi ya GANGSTERISM 100%

Zitto: Kesi nyingi za uhujumu uchumi ni za kubambika na kukomoa sasa wanatafuta hela. Nchi ya GANGSTERISM 100%

Half a decade in jail ( miaka 5 jela) sijafanya kazi upelelezi bado unaendelea then paap jiwe linageuza mambo, sasa yeyote mwenye kesi ya uhujumu uchumi aandike barua ya kukiri kosa then alipe fedha. Kuna tofauti na Pirates wa Kisomali?

Kuchukua hela ya mtu bila ridhaa yake sababu umeshikilia uhuru wake hivo lzm mtu anunue uhuru wake ni uhalifu sawa na u pirate au mafia.Haya mambo tuliyasoma enzi za biashara ya utumwa pale wamisionari walipokuwa wakiwanunua watumwa toka kwa waarabu kisha uwaachia huru naona yamerudi wafungwa kulazimishwa kununua uhuru wao haijalishi umebambikwa kesi.
 
Bora maana unaweza hata kukiri, then unafitiwa ukianza kulipa wanakugeuzia kibao, usilipe tena twende mahakamani....hiyo barua ya kukiri utaikana mahakamani?
Kwa utawala Wa sheria labda ,wanaweza wakawa wamewekewa mtego wakiri ili wafilisiwe kabisa na kifungo juu hawana aibu hawa,wahuaji Wa akwilini kila mtu anajua ni polisi waliofyatua risasi leo chadema wamebambikwa watashindwa nn hawa
 
Hao walioshikwa ushahidi upi umetumika
Get your perspective together ndani ya dakika kumi umesimama pande hili.

Huku unapinga kukamatwa kwa walio mahabusu kabla ya ushahidi kukamalika

Halafu ata dakika kumi nyingi unataka hakina Chenge na Ngeleja waende huko huko bila ushahidi wa makosa yao.

Which is which?
 
Two thought in one action
 
Wa kulaumiwa ni yeye kwa kutucopia katiba ya udikteka Wa swahiba wake Dikteta Mao na kuipaste kama katiba ya nchi.100% za lawama zote zitabakia kwa mwalimu.Angeibadili alipoona hatari hio maana yaliyomo yalikuwepo.Aina hii ya katiba umfaa mtu mwenye hekima na busara.

yeye mwenyewe mwalimu kawazulumu wananchi majumba yao na ikawa NHC mtu ukikutwa na khanga 50 wewe mhujumu uchumi. watu enzi zake walikuwa wakitupa vitu kutoka majumbani mwao ili wasikamatwe una friji tatu jela una mafuta ya kula debe 60 jela
 
Kwa utawala Wa sheria labda ,wanaweza wakawa wamewekewa mtego wakiri ili wafilisiwe kabisa na kifungo juu hawana aibu hawa,wahuaji Wa akwilini kila mtu anajua ni polisi waliofyatua risasi leo chadema wamebambikwa watashindwa nn hawa
Kwa utawala huu wa washauri kama Bashite na kikundi chake cha akina Le mutuz na cyprian Musiba Jerry muro na wenzao lolote linawezekana kwani hawana Utu hawamuogopi mungu.
 
yeye mwenyewe mwalimu kawazulumu wananchi majumba yao na ikawa NHC mtu ukikutwa na khanga 50 wewe mhujumu uchumi. watu enzi zake walikuwa wakitupa vitu kutoka majumbani mwao ili wasikamatwe una friji tatu jela una mafuta ya kula debe 60 jela

Mwalimu ndie mwasisi Wa kusomesha watu namba na kuwaaminisha watu kuwa masikini ndio uzalendo.Aliwafilisi wengi sana wachaga wakakimbilia Kenya wahindi wakakimbila Kenya ulaya USA na Canada.Yote haya ni marudio ya kucopy na kupaste.Viongozi watokao kanda ya ziwa sijui kwann wanawachukia matajiri awamu ya kwanza na ya tano zafanana.
 
dhambi itaitafuna sana tanzania ndio maana na kushangaza nchi tajiri lakini haonekani utajiri wake wananchi wanazidi kuwa mafukara maskini kudhulumiana kutesana ukiwa na haki yako kuipata mpaka uteseke au utoe chochote
 
Kwa utawala huu wa washauri kama Bashite na kikundi chake cha akina Le mutuz na cyprian Musiba Jerry muro na wenzao lolote linawezekana kwani hawana Utu hawamuogopi mungu.

Hao wako radhi kufanya chochote mbele ya pesa utu baadae.Watapata tabu Sana siku mbuyu ukianguka pa kujisitiri kivulini.
 
dhambi itaitafuna sana tanzania ndio maana na kushangaza nchi tajiri lakini haonekani utajiri wake wananchi wanazidi kuwa mafukara maskini kudhulumiana kutesana ukiwa na haki yako kuipata mpaka uteseke au utoe chochote

Nikionacho watakuja kudai fidia mbeleni ngoja awamu hii ipite hata waliobomolewa nyumba zao kodi zetu ndizo zitatumika kulipa fidia
 
Ni sahihi kwako kuwalazimsha watuhumiwa kukiri kosa na wanunue uhuru wao?
From the outset wakati sakata lote bado bichi kabisa baada ya kusoma details zote matendo ya Rugemalila yalikuwa sio mazuri na unethical. Hila sikuwahi kuamini wanamakosa ya kisheria na it was obvious kwa yeyote mwenye kuangalia mambo kwa uhalisia badala ya hisia.

Leo sishangai kuona serikari inakuja na utaratibu huu kwa sababu sidhani kama wangeweza pata ushahidi wa kuwatia hatiani.

The whole thing was a result of political, media and social pressure ambazo zimetokana na distorted facts na Zitto ana mchango mkubwa kwenye kusambaza sumu ya uongo ndani ya jamii hadi hao watu kuwa ndani leo.

Ajabu ni kwamba leo anajifanya anajali their legal rights na welfare za hao watu, huu sasa ndio unafiki ninaopinga ni bora akae kimya tu kama keshaelewa haki aikutendwa in the first place maana na yeye anahusika indirectly kwenye kuhamasisha haki zao kukopwa mpaka walipofikia.

Binafsi mtu mnafiki huwa ananikera.
 
Hakuna kesi za kujibu kinachotafutwa ni Pesa kwa kesi za kubumba zisizo na ushahidi.Hivo mwenye Pesa za kununua uhuru wake ndie atakuwa huru.Hii inasadikisha maneno yasemwayo jela ni kwa ajili ya masikini ukimkuta tajiri jela mawili kaingia anga za wanasiasa au bahili kukata.Wengi wako jela sababu ni masikini hawana Pesa za kuhonga wapelelezi ili ushahidi ukamilike au pesa za kuwalipa mawakili wawatetee.Hivo Pesa ndio inanunua uhuru Wa mfungwa.
 
Back
Top Bottom