Handsome Boy 2014
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 605
- 151
Mkuu wa Chama Cha ACT Wazalendo anatarajia kutoa tamko juu ya hali ya chama na kile kinachoendelea katika Chama hicho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wa Chama Cha ACT Wazalendo anatarajia kutoa tamko juu ya hali ya chama na kile kinachoendelea katika Chama hicho.
siku chadema ikiwa na mwenyekitiki ambae co mchaga ndo ntaamini kweli chadema ipo kwa ajili ya watanzania na sio wachaga. hapo ata mm nitawaunga mkonoZito alidhani kuanzisha chama na kihimili mikikimikiki ni jambo la mchezo mchezo,hapa ndipo naikubali chadema pamoja na mambo magumu waliyopitia bado chama kipo tu na kinatisha.
Heko kwa mbowe!..
Amini usiamini nadhani haitobadilisha ukweli kuwa ndio chama pekee kinachoendesha siasa za upinzani kwa sasa (plus CUF), japo katika mazingira magumu. Kuutaja ukabila kwenye vyama vya siasa leo ni propaganda isiyo na tija. Vyama vyote vya siasa vina madhaifu ambayo mengi ni natural kulingana na nani alianzisha, lini chama kilianzishwa na wanachama wengi wapo mahali gani au sehemu gani ya ki jiografia ya Tanzania. Madhaifu ni mengi - ukabila udini ukanda undugu kufahamiana na mengine kama hayo yapo kila mahali na si kwenye vyama tu. That is natural, na system yoyote inayosimamiwa na binadamu haya hayaepukiki. Hata huku magharibi tunakodhani wako vizuri baadhi ya hayo hayaepukiki.siku chadema ikiwa na mwenyekitiki ambae co mchaga ndo ntaamini kweli chadema ipo kwa ajili ya watanzania na sio wachaga. hapo ata mm nitawaunga mkono
Lini walifanya vikao viwe vya nje au ndani? Juzi Chadema wamefanywaje Dodoma? Mtwara Maalim Seif aifanywaje? Vimepwaya au vimepwaishwa????? Tafakari kabla ya kutoa tamko.Ila upinzan nchini umepwaya hakunakinachoendelea jitathimini upya
Eti nikala samaki wa kukaanga ungeenda chooni kukata gogo ungeandika? Muwe mnajikita kwenye maudhui
Mkuu heko kwako umeandika utafikiri na wewe upo magharibi kumbe upo kijichi Safi sanaAmini usiamini nadhani haitobadilisha ukweli kuwa ndio chama pekee kinachoendesha siasa za upinzani kwa sasa (plus CUF), japo katika mazingira magumu. Kuutaja ukabila kwenye vyama vya siasa leo ni propaganda isiyo na tija. Vyama vyote vya siasa vina madhaifu ambayo mengi ni natural kulingana na nani alianzisha, lini chama kilianzishwa na wanachama wengi wapo mahali gani au sehemu gani ya ki jiografia ya Tanzania. Madhaifu ni mengi - ukabila udini ukanda undugu kufahamiana na mengine kama hayo yapo kila mahali na si kwenye vyama tu. That is natural, na system yoyote inayosimamiwa na binadamu haya hayaepukiki. Hata huku magharibi tunakodhani wako vizuri baadhi ya hayo hayaepukiki.
kuendesha siasa ni kawaida tu, walianza NCCR MAGEUZI wakaja CUF na sasa nyie CHADEMA. so na nyie mtapita watakuja wengine. kila chama kina mapungufu yake lkn co ya kusimika ukabila kwenye kama nyie. we hujiulizi kwa nn mtu akionekana anataka uongozi chadema ambae co mchaga lazima apigwe zengwe.Amini usiamini nadhani haitobadilisha ukweli kuwa ndio chama pekee kinachoendesha siasa za upinzani kwa sasa (plus CUF), japo katika mazingira magumu. Kuutaja ukabila kwenye vyama vya siasa leo ni propaganda isiyo na tija. Vyama vyote vya siasa vina madhaifu ambayo mengi ni natural kulingana na nani alianzisha, lini chama kilianzishwa na wanachama wengi wapo mahali gani au sehemu gani ya ki jiografia ya Tanzania. Madhaifu ni mengi - ukabila udini ukanda undugu kufahamiana na mengine kama hayo yapo kila mahali na si kwenye vyama tu. That is natural, na system yoyote inayosimamiwa na binadamu haya hayaepukiki. Hata huku magharibi tunakodhani wako vizuri baadhi ya hayo hayaepukiki.
siasa ya ajabu na iliyokosa uweledi kupata kutokea duniani ni tukio la huyo MBOWE wenu kumkaribisha LOWASA kwenye chama na bado tena anampa nafasi ya kugombea urahisi. tena mtu ambae walikuwa wakilia na kuutangazia umma kuwa ni fisadi wa kutupa. nilfatilia kampeni za uchaguzi. karibia asilimia 90% ya wabunge wenu hawakuwa wakijitokeza hadharani kumsupport LOWASA. lipumba aliamua kuwa mkweli hakutaka kuonekana mnafiki. ukisema katumwa mbona hata CCM wenyewe waligombana mpaka wengine wakataka kuanzisha chama kingine.unataka kusema na hao wanatumwa na nani.Mbowe adumu daima na kidumu chama cha chafema pamoja.na UKAWA. Lipumba anayetumika na chama tawala ziiiiiii!
Vyama vinaendeshwa na watu wenye moyo kama Mbowe. Yule simjui, siyo ndugu yangu lakini mimi ni mwanzilishi wa NGO, yaani asasi ya kiraia. Ninajua ilivyo ngumu kuendesha taasisi zisizo za serikali ambazo hazina fedha za kutosha.
Umesikia kuwa Mbowe anafanya kazi ya uwenyekiti bila malipo.
Siasa chafu imemwingilia kwenye biashara zake kwa.nia ya kumkomoa.
Wakidhani bila hiyo biashara na gazeti atashindwa kuendesha chama na ataacha uwenyekiti.
Wanajua fika akiacha Mbowe Chadema lazima itafifia kama.NCCR Mageuzi na nyingine ambazo hazina fedha.
Wanachama wote eamwombee sana Mbowe kama wanataka Chadema iwepo.
Nakiri mimi naikubali Chadema na viongozi wake shupavu na misimamo yao lakini mimi siyo mwanachama.
Long live Chadema. Long live Mbowe, long live Lowasa, Mnyika, Mwalimu, Tundu Lisu, Lema, Halima Mdee, na kundi lake la wanawake vijana! Bravo. I love you guys. You always make my day. Nisimsahau padri Msigwa na wengine.
I miss Slaa but that is his loss!!
Mbona mwenyekiti wako anaondoa watu wa kaskazini na kujaza watu wa Kanda yake maofisini tena wakristo waislam anawabagua Acheni hizo nchi haiongozwi kwa majungu na madebesiku chadema ikiwa na mwenyekitiki ambae co mchaga ndo ntaamini kweli chadema ipo kwa ajili ya watanzania na sio wachaga. hapo ata mm nitawaunga mkono