Amini usiamini nadhani haitobadilisha ukweli kuwa ndio chama pekee kinachoendesha siasa za upinzani kwa sasa (plus CUF), japo katika mazingira magumu. Kuutaja ukabila kwenye vyama vya siasa leo ni propaganda isiyo na tija. Vyama vyote vya siasa vina madhaifu ambayo mengi ni natural kulingana na nani alianzisha, lini chama kilianzishwa na wanachama wengi wapo mahali gani au sehemu gani ya ki jiografia ya Tanzania. Madhaifu ni mengi - ukabila udini ukanda undugu kufahamiana na mengine kama hayo yapo kila mahali na si kwenye vyama tu. That is natural, na system yoyote inayosimamiwa na binadamu haya hayaepukiki. Hata huku magharibi tunakodhani wako vizuri baadhi ya hayo hayaepukiki.