Tetesi: Zitto kutoa Tamko zito juu ya mustakabali wa Chama.

Status
Not open for further replies.
Mbona mwenyekiti wako anaondoa watu wa kaskazini na kujaza watu wa Kanda yake maofisini tena wakristo waislam anawabagua Acheni hizo nchi haiongozwi kwa majungu na madebe
hakuna anaebaguliwa mkuu angalia vzuri anaechaguliwa CV yake. sizonje anaangalia cv yako swala la dini haliangaliwi mkuu.

kwenu hamuangalii cv mnaangalia uchaga kwanza. kwenu mna wanachama wangapi waandamizi tena wazito kwenye chama lakini hamjawaona mnakuja kumpa mtu agombee urahisi hata week ajamaliza kwenye chama. nyie semeni tu hapo kwa lowasa mliteleza tutawaelewa.
 
Mkuu wa Chama Cha ACT Wazalendo anatarajia kutoa tamko juu ya hali ya chama na kile kinachoendelea katika Chama hicho.
Hii ni mbinu tu ya kukifanya chama kisikike tena kitajwetajwe kwenye media kisipotee kabisa
-Alianza afande sele kukinanga chama halafu zitto akarekebisha hali
-yakapita mengine madogo dogo hayakuwa na impact
-kikaja kifo cha bwana yule mwalimu afande sele akafunguka tena
-likaja la chama kuwa na ofisi ughaibuni, nalo halikuhit kivile
-likaja la machali kuhamia/kurudi ccm
Sasa limekuja hili lakini bado...!naona ni kama kudunduliza matukio ili walau chama kisikikesikike
 
Reactions: Gut
Politics ni dyanamic and not STATIC.Ndiyo maana leo huyu anatoka hapa anaenda pale. Ni kawaida sana. By the way kwa siasa za Afrika zilivyo, ni afadhali chama kiongizwe na mtu ambaye kidogo anakivusha. Watu wengine hawaaminiki, ni maajent wa vyama tawala barani afrika. Inahitaji kujiridhisha sana kabla ya kubadili safu za uongozi. Kosa dogo la kumuweka mtu ambaye ni mamluki(mifano ipo) linaua chama. Nadhan Chadema wanalijua hilo ndiyo maana kwao wanaona ni afadhali kukubali lawama za ukanda ila wabaki na mwenyekiti ambaye hanunuliki au pasi na shaka hawez kuwa agent wa chama tawala. Kwenye hilo,Chadema washikilie hapo hapo. Ukiona watu wanalaumu, jua hapo ndipo kisiki cha mpingo kwao. Siasa za kiafrika ni ngumu sana.
 
Huu ni upotoshaji. Ni lini CV ziliombwa Waislam kwa mfano wakakosa CV?
 
kama mnakubali lawama bac badilisheni na katiba yenu ijulikane kabisa nafasi za uongozi kwenye chama ni za kudumu kama tunavyoona kwa mfalme na malkia. ili mtu wa kabila lingine anapokuja ajue kabisa hana haki ya kugombea uongozi.
 
Huu ni upotoshaji. Ni lini CV ziliombwa Waislam kwa mfano wakakosa CV?
wewe haujanielewa, mm nimesema mtu hachaguliwi kwa dini yake. kama nyie mnaona waliochaguliwa wengi ni wakristo hyo mmeiona nyie. ila watu wanapewa nafasi kulingana na uwezo wao na cv zao zilivyo.
 
Ila upinzan nchini umepwaya hakunakinachoendelea jitathimini upya
Wala upinzani haujapwaya tatizo mkulu anatumia majeshi kuminya upinzani yaani anataka asikike yeye tu
 
Waislam walimkosea nini Sizonje?

Naona hawachagui . anagusa mmoja kwenye chaguzi 100
 
We pimbi kwani Lowasa haruhusiwi kugombea urais kikatiba? Bado hajathitishwa na mahakama kama fisadi! Jifunzeni USA Trump hata mwenyekiti wa republican hawajuani na amegombea ameshinda na marekani inaenda mbele sio huyu mapushapu nchi inarudi nyuuuma
 
Wakati mnalalamika CDM ni ya Wachaga,mbona mnasahau CCM ni tawi la Kanisa Katoliki! Mtasema ooh vipi Kikwete na Mwinyi nao ni Wakatoliki? Jibu jiulize nani alianzisha BAKWATA! Then utaja gundua hao ni vivuli tu but alieshika mpini ni Kadinali Pengo na wa mfano wake
 
Makijani bisheni tena
 
We pimbi kwani Lowasa haruhusiwi kugombea urais kikatiba? Bado hajathitishwa na mahakama kama fisadi! Jifunzeni USA Trump hata mwenyekiti wa republican hawajuani na amegombea ameshinda na marekani inaenda mbele sio huyu mapushapu nchi inarudi nyuuuma
hahahahaaa kwan mlivyokuwa unamuita fisadi kipindi kile alikuwa kathibitishwa na mahakama.
 
Waislam walimkosea nini Sizonje?

Naona hawachagui . anagusa mmoja kwenye chaguzi 100
haha sizonje labda bado hajajua kama anaowachagua wengi ni wakristo. ila sidhan kama hicho kitu anazingatia.
 
Zito alidhani kuanzisha chama na kihimili mikikimikiki ni jambo la mchezo mchezo,hapa ndipo naikubali chadema pamoja na mambo magumu waliyopitia bado chama kipo tu na kinatisha.
Heko kwa mbowe!..
Itakua hujatenda haki kuilinganisha chadema na ACT......
Chadema wa miaka zaidi ya 20 tangu kuanzishwa kwake wakati ACT hata miaka miwili bado,
Changamoto za ACT haziwezi kufanana moja kwa moja na za ACT ingawa vyote ni vyama vya siasa.
UMRI UMRI UMRI
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…