Labda vijana wahuni wa JFCCM ameshakuwa adui wa nchi hii na vijana wengi tunaiona CCM kama chama kinacho tuharibia maisha yetu...hamna uchumi wanaojenga zaidi ya kueneza umasikini for over 50 years, tulipende hili chama LA nini? Wacha liondolewe even if for the facts tunajua marekani ni taifa hatari...mkoloni mweusi ni mbaya sana. Ntalipendaje taifa langu sina ajira? Sina mtaji, sina matumaini? I have nothing except my own strength! Yani CCM iondolewe tumeichoka....huo uzalendo wanao wao Sababu wameshiba...Mimi na njaa, uzalendo wa nini? Sina uzalendo kwa hii serikali hata kidogo!
unasubilia hilo kwa hamu? ikiondoka nani atawale? Mbowe wa CHADEMA? UNaamini hapo kuna kichwa cha kutawala nchi hapo? Aache kuuza bangi za billicanasCCM ikirudi madarakani October 2020, lazima US kama si kui-Libya nchi yetu basi watai-Iraq. yote mawili ni majanga.
hiyo upende usipende lazima itatokea labda upinzani ushike madaraka!
Imeandikwa Zimbabwe wewe unarukia ubaguzi wa rangi, shiiit!Analysis yako imekosa weledi. Hivi unajua kuwa bila ya support ya UK na US, harakati za kuondoa ubaguzi wa rangi kwa kutumia nchi za mstari wa mbele, OAU na Umkondo wa Sizwe, zilikuwa zimeshindwa?
Ni baada ya jitihada kubwa za kidiplomasia za kuzishawishi Uingereza na Marekani kufanikiwa, ndipo Makaburu waliposalimu amri.
Hata kufanikiwa kwa Mwalimu katika kutafuta uhuru wa Tanganyika, kulitokana zaidi na jitihada za kidiplomasia za kuyashawishi mataifa makubwa kutuunga mkono. Ukumbuke kuwa jitihada za akina Kinjekitile, Chabruma, Mkwawa, Isike - zote ziliginga mwamba.
Hata wakati wa vita dhidi ya Id Amin, mwalimu alilalamika sana juu ya OAU kwa kushindwa angalao kutamka tu kuwa uvamizi wa Amin ulikuwa haramu. Unadhani kwa nini aliitaka kauli hiyo?
Katika mapambano yoyote, na hasa ya kupambana na mwenye nguvu, ushindi wake hutegemea zaidi kuungwa mkono, ndani na nje.
Wewe endelea kulala usingizi wa pono, probably unafikili hizi ni zama za miaka ya 90! Ogopa vijana wasomi wanapokuchoka kuliko a league of idiots huko vijijini mnapovuna kura wasiojua ABCs kuhusu maisha yao, an Arab spring haikuanzishwa na vijana wa vijijini ila wasomi walioona maisha yao yanaharibika, wapuuzi kama nyie huwa mnajiona mko salama mpaka mtakapoona mitaa haipitiki. Nakuhakikishia CCM ikiendelea kutokujenga uchumi na mazingira ya ajira kwa vijana itaondolewa hata kwa nguvu, sikujui unijua ila IPO siku utakumbuka.kama unaweza jifunza jambo jifunze uchaguzi huu uone wangapi watajitokeza kupiga kura....ukiona watu hawajitokezi jiulize kwann, sababu nakuhakikishia mwaka huu wapiga kura mtawapata vijijini sio mijini, na mkishinda kwa asilimia 99 mnajiona wajanja kama mahayawani wakati huo ushindi wa 99% ndio kaburi lenu? Nawashauri ibeni, uweni watu, ondoeni wapinzani wote mshinde kwa asilimia 100, serikali si yenu? Mabunduki si yenu? . Na huko Zanzibar mtazingua mtapigwa vikwazo vya kiuchumi, tutaona mtakavyo survive kabla hao wanajeshi hawajaanza kudai mshahara kwa mtutu wa bunduki..ila wanadai kusikia kwa mamba mpaka damu masikioni.Labda vijana wahuni wa JF
Upeo wako ni mdogo kuweza kuelewa hoja.Imeandikwa Zimbabwe wewe unarukia ubaguzi wa rangi, shiiit!
Wewe una PHD ya utahira na umeisomea kwa mabeberu.swali dogo tu kwako tangu wameziharibu hizo kuna matokeo chanya katika nchi zote kuliko hapo awali au unawaswa?CCM ikirudi madarakani October 2020, lazima US kama si kui-Libya nchi yetu basi watai-Iraq. yote mawili ni majanga.
hiyo upende usipende lazima itatokea labda upinzani ushike madaraka!
There are 'patriots' and "patriot fossils" or fossilized patriots. They all belong to the dustbin of history. That's where all African dictators should be.
Sent using Jamii Forums mobile app