Zitto, Lissu na Mbowe wanafanya makosa kama ya Morgan Tsvangirai

Zitto, Lissu na Mbowe wanafanya makosa kama ya Morgan Tsvangirai

duh, bado upo????
Nipo hapa naangalia dunia inavyozunguka. Nimekuwa nikijiuliza kwa nini Coriolis force inatia shida kwenye fluids na matatizo ya harmattan weather Ngoja niendelee kusoma kitabu cha Ethics of voting. Kitafute ukisome badala ya hiyo ilani ya CHADEMA.
 
ilani ya chadema sina, nitumie mkuu kama hutojali
 
..achana na mambo ya Lancaster House.

..wengine tumefuatilia harakati za ukombozi wa Zimbabwe toka wakati wako Mgagao.
JokaKuu, kuna watu hawajui kuwa humu kuna wazee ambao tayari tulikuwa tunafuatilia siasa wakati Ian Douglas Smith, Waziri Mkuu wa Kwanza mzaliwa wa Rhodesia alipojitangazia uhuru na kujiondoa kwenye jumuiya ya Commonwealth mwaka 1965. Mwambie Patriot tuko wengi humu na asishangae wengine tukiikataa CCM, tunaijua TANU na CCM kuliko hawa limbukeni walioko madarakani hivi sasa.
 
Alexander Litvinenko, alitoroka Russia na kuanza kutoa habari za usalama akiwa UK. Spika wa Bunge la Russia alimuahidi kifo kwa njia yoyote ile! Jamaa akadhani atalindwa na waingereza. Baadaye ananyweshwa Polonium na kufa.

Ushujaa mwingine ni upumbavu. Lissu alijiona ni maarufu na akaamini ana umuhimu sana! Sasa hajui aishi wapi anaanza kubembeleza eti kusindikizwa kurudi TZ. sijui wakimsindikiza baadaye wataishi naye! Mdomo hautulii!!
Karudi na anakimbiza
 
JokaKuu, kuna watu hawajui kuwa humu kuna wazee ambao tayari tulikuwa tunafuatilia siasa wakati Ian Douglas Smith, Waziri Mkuu wa Kwanza mzaliwa wa Rhodesia alipojitangazia uhuru na kujiondoa kwenye jumuiya ya Commonwealth mwaka 1965. Mwambie Patriot tuko wengi humu na asishangae wengine tukiikataa CCM, tunaijua TANU na CCM kuliko hawa limbukeni walioko madarakani hivi sasa.

..mimi mwenyewe nilikuwa namuunga mkono Mugabe wakati ule anataifisha ardhi.

..lakini baadae nikaja ku-realize anatumia nguvu kuliko maarifa, na anatumia suala la ardhi kujisimika kwenye madaraka.

..tulikuwa tunavurugana kwelikweli na wachangiaji wazoefu wa hapa JF kwasababu ya Mugabe.
 
Sawa kabisa, lakini kuna wansiasa huko tunakoita upinzani, hata uwape dola, wataishia kuifilauni tu!

..unadhani watafanya kitu gani ambacho wana-ccm hawajafanya?

..mimi kwa maoni yangu tukishabadilisha utawala mara moja nchi hii hakuna mtawala "atatushika masikio" tena.

..pia tukibadilisha utawala, tunarekebisha na KATIBA ili kuondokana na Raisi ambaye ni kama Baba Mtakatifu.

..all in all naheshimu msimamo wako. Ila nakusihi usiache kusoma, and keep an open mind.

..mimi nilikuwa ccm, then nikaenda nccr. alipokuja Mrema nikapigia CCM. sasa hivi ni Cdm kindakindaki.
 
..mimi nilikuwa ccm, then nikaenda nccr. alipokuja Mrema nikapigia CCM. sasa hivi n
..unadhani watafanya kitu gani ambacho wana-ccm hawajafanya?

..mimi kwa maoni yangu tukishabadilisha utawala mara moja nchi hii hakuna mtawala "atatushika masikio" tena.

..pia tukibadilisha utawala, tunarekebisha na KATIBA ili kuondokana na Raisi ambaye ni kama Baba Mtakatifu.

..all in all naheshimu msimamo wako. Ila nakusihi usiache kusoma, and keep an open mind.

..mimi nilikuwa ccm, then nikaenda nccr. alipokuja Mrema nikapigia CCM. sasa hivi ni Cdm kindakindaki.
Tatizo ni uelewa wa viongozi wa juu wa CHADEMA! Mwaka huu, miaka 60 baada ya uhuru, siwezi kuamini mtu aliyekuwa dj awe kiongozi wa chama kinachoongoza nchi! Ni uzembe kuamini ana ubora unaofaa.

Liberia walifanya kosa hilo hilo la kuamini mcheza mpira anaweza kuwa raisi, leo hii haijulikani ana sera gani. Umaarufu wa bilicanas ni kwa sababu tofaut
 
Mkiomba misaada nyie ni sawa wakiomba wenzenu majuha
Ss acha tuonekane majuha mwaka huu
 
ilani ya chadema sina, nitumie mkuu kama hutojali
Kuna maandishi wanayaita ni ilani, lakini nilipooneshwa nikahisi ni kama vile vitabu vya elimu ya watu wazima. Sentensi ya kwanza inasema kilimo cha pamba, sentensi ya tatu ni kokoa. Nadhani walikosa mwenye uwezo wa kuandika ilani ya kweli.
 
Tatizo ni uelewa wa viongozi wa juu wa CHADEMA! Mwaka huu, miaka 60 baada ya uhuru, siwezi kuamini mtu aliyekuwa dj awe kiongozi wa chama kinachoongoza nchi! Ni uzembe kuamini ana ubora unaofaa.

Liberia walifanya kosa hilo hilo la kuamini mcheza mpira anaweza kuwa raisi, leo hii haijulikani ana sera gani. Umaarufu wa bilicanas ni kwa sababu tofaut

..Usimdharau Dj Mbowe.

..alikuwa na vision fulani ambayo imewezesha chama kufika kilipofika.

..siasa za upinzani za Tz ni ngumu na ndiyo maana wasomi wanazikimbia.

..Nccr walikuwa na kundi la Ma-doctor toka Faculty of Law lakini wote walikata tamaa wakamuachia chama James Mbatia.
 
Patriot,
..How old are you?
..Kwanza Mugabe alikuwa hapigani na Waingereza, alikuwa anapigana na utawala wa Walowezi wa Southern Rhodesia.
Mkuu hii hoja inaonyesha kijana Patriot hakushuhudia wala kutaka kujua nini kilitokea Zimbabwe
..Hivi unadhani Mugabe hakuwa na msaada toka nje wakati akipambana na Walowezi wa Southern Rhodesia?
..Au, umesahau kwamba Mugabe na Zanu walikuwa wanasaidiwa na WACHINA ktk vita vya ukombozi?
..Umesahau kwamba Mandela aliachiwa toka gerezani kwa msaada toka nje ikiwemo nchi za Magharibi?
..Unafikiri ANC na PAC wangeweza kuwatoa makaburu wa Afrika Kusini kijeshi?
China, Cuba na nchi zote za mrengo wa kushoto. Hivi Patriot anajua ''Mgagao accord'' na hapa ndipo akina Nkhomo na Mugabe walipokuwa wanapata msaada. Kuna Hashim Mbita RIP hao ndio msaada hasa, na ndio waliokesha Cuba na China kutafuta misaada ya Zimbabwe kwa mwamvuli wa Frontline states
..Mimi nadhani kilichosababisha Morgan Tsivangirai ashindwe ni king'ang'anizi cha Robert Mugabe na Zanu-PF.
..Walowezi hawakuwa tayari kuharibu UCHUMI ili kubaki madarakani. Lakini viongozi wengi wa Kiafrika wako tayari kupoteza kila kitu, kuua, na kuharibu uchumi, ili wabaki madarakani.

cc Mindi, Nguruvi3, tindo
Morgan alishindwa kwasababu ya Mugabe na Jeshi. Tvangirai alidhani kuwa akiungana na Mugabe atapata fursa ya ku-learn system na kumgeuka. Kwa Zimbabwe siasa zake zinalindwa na jeshi.

Ni yale yale ya kauli za '' Tumeipata nchi kwa damu'' hatuitoi kwa kipande cha karatasi.

Mkuu JokaKuu, viongozi wa Afrika ni wa aajabu sana. Wapo tayari kusimama katika miili ya wafu na kuogelea katika madimbwi ya damu alimradi wabaki madarakani.

Hawana respect na ubinadamu wala uchumi.
Viongozi wa Afrika wapo tayari kucheza mdumange juu ya makaburi kwa gharama za kubaki madarakani.

Hii ndio tofauti kubwa ya rangi, kwamba, Viongozi wa Afrika wanajali masilahi yao na si ya umma.
 
..Usimdharau Dj Mbowe.

..alikuwa na vision fulani ambayo imewezesha chama kufika kilipofika.

..siasa za upinzani za Tz ni ngumu na ndiyo maana wasomi wanazikimbia.

..Nccr walikuwa na kundi la Ma-doctor toka Faculty of Law lakini wote walikata tamaa wakamuachia chama James Mbatia.
Watu wa aina hiyo wapo wengi. Mtu kama huyu alizoea kuendesha casino na wahuni wenzake. Bahati mbaya kuna kabila lake ambao wanamuina anafaa kwa sababu tu ni mwenzao, lakini kuongoza nchi, No!

Bersicon Amekuwa kiongozi wa Italy mara mbili lakini tatizo ni hilo hilo la kuzoea umalaya Ktk empire yake. Kwa ujumla alibowa mara zote.
..Usimdharau Dj Mbowe.

..alikuwa na vision fulani ambayo imewezesha chama kufika kilipofika.

..siasa za upinzani za Tz ni ngumu na ndiyo maana wasomi wanazikimbia.

..Nccr walikuwa na kundi la Ma-doctor toka Faculty of Law lakini wote walikata tamaa wakamuachia chama James Mbatia.
Watu wa aina hiyo wapo wengi. Mtu kama huyu alizoea kuendesha casino na wahuni wenzake. Bahati mbaya kuna kabila lake ambao wanamuina anafaa kwa sababu tu ni mwenzao, lakini kuongoza nchi, No!

Berlusconi Amekuwa kiongozi wa Italy mara mbili lakini tatizo ni hilo hilo la kuzoea umalaya Ktk empire yake. Kwa ujumla alibowa mara zote. Fikilia CHADEMA ikulu, mawaziri ni akina mbowe na mnyika nk.
 
Wakati Zimbabwe wanatafuta uhuru, kikwazo kikubwa kwao ilikuwa ni serikali ya Uingereza iliyokuwa inampa support Smith. Katika harakati hizo, Zimbabwe walifundishwa kupambana na Waingereza ili wafanikiwe uhuru wao.

Morgan alipokuwa anapambana na Mugabe akafanya kosa la kutafuta msaada toka Uingereza. Pamoja na kumchoka Mugabe, Morgan hakuonekana kuwa mtu sahihi wa kushika nafasi hiyo. Bahati mbaya hata SADC waliona ni upuuzi tu!

Tunao akina Zitto, Lissu na Mbowe. Huu ni mwaka wa uchaguzi ndo wanachachamaa kuzunguka Ulaya na US wakiomba msaada na kuishitaki serikali wanayoiita ni ya CCM.

Je, kweli wanaamini wananchi wanafurahia sana kusikia mtu anataka kutawala kwa msaada wa US na Ulaya?

Naweza kusema huo ni ujuha. Kwa ufahamu wa leo, huwezi saidiwa na US kutawala nchi baadaye US ikuachie bila kuivuna nchi inavyotaka.
Tuone wanafika wapi. Ada ya muda hunena muungwana ni kitendo
 
..mimi mwenyewe nilikuwa namuunga mkono Mugabe wakati ule anataifisha ardhi.

..lakini baadae nikaja ku-realize anatumia nguvu kuliko maarifa, na anatumia suala la ardhi kujisimika kwenye madaraka.

..tulikuwa tunavurugana kwelikweli na wachangiaji wazoefu wa hapa JF kwasababu ya Mugabe.
Sema kwa ufahamu wako. Mugabe alikuwa sahihi au hapana! Kwa maelezo yako unahisi hakuwa sahihi. Wengi hata wanamsingizia kuharibu uchumi wa Zim-dollar. Tunaojua tunasema hapana!
 
Tahira anaandika Uzi wa kitahira ili kuonekana mwelevu kumbe Ni tahira
 
Back
Top Bottom