zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Pamoja na kwamba thread ni ya zamani ila haupo informed kabisa. Kama hao Wazimbabwe hawakumuona ni mtu sahihi kivipi alimzidi kura Mugabe ingawa kwa simple majority?
Hvi Kina Mbowe wamepigika sana miaka 5 hii hakuna msaada wa ndani je mnataka wautoe wapi? Mnataka mpaka wafe wote ndio mshangilie?
Hvi Kina Mbowe wamepigika sana miaka 5 hii hakuna msaada wa ndani je mnataka wautoe wapi? Mnataka mpaka wafe wote ndio mshangilie?