Zitto, Lissu na Mbowe wanafanya makosa kama ya Morgan Tsvangirai

Ili kuepukana na msongo wa mawazo ulio, nakushauri kufanya yafuatayo:
  • Kutafuta kazi ya kufanya ili kujipatia kipato kwa kutumia fursa zilizopo.
  • Kujiepusha na mawazo na ndoto hewa za kupata maisha mazuri ukishinda kwenye porojo
  • Kumrudia Mungu.
Ukifanya hayo, utajikuta unapungukiwa yafuatayo:
  • Matusi
  • Hasira zisizo na msingi
  • Msongo wa mawazo
  • Ndoto za alnacha
Maisha yatakunyokea. Kataa mganga lakini dawa yake tumia.
 
Nakazia hapa. Naunga mkono hoja
Sent using Jamii Forums mobile app
 
unasubilia hilo kwa hamu? ikiondoka nani atawale? Mbowe wa CHADEMA? UNaamini hapo kuna kichwa cha kutawala nchi hapo? Aache kuuza bangi za billicanas
bora watoto wa mujini waje kuliko hawa retards (wakolomije) wanaotaka kijiji chao kiwe na hadhi ya jiji!
 
Hauko serious au huelewi usemacho. Nakataa kuwa wewe siyo mjinga kiasi hiki labda ubishe mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe kaingiaje hapo kuzunguka ulaya wakati mmemzuia?
 
unasubilia hilo kwa hamu? ikiondoka nani atawale? Mbowe wa CHADEMA? UNaamini hapo kuna kichwa cha kutawala nchi hapo? Aache kuuza bangi za billicanas
Punguza porojo! Aliyekuambia Mbowe anataka kuwa Prezidaa nani?
Unauliza ikiondoka nani atawale? Ikiondoka nini?
Tumechoka kutawaliwa tunahitaji kuongozwa na wenye uelewa na ufahamu zaidi... upo
Muuza bangi na mwizi nani bora?
 
Punguza porojo! Aliyekuambia Mbowe anataka kuwa Prezidaa nani?
Unauliza ikiondoka nani atawale? Ikiondoka nini?
Tumechoka kutawaliwa tunahitaji kuongozwa na wenye uelewa na ufahamu zaidi... upo
Muuza bangi na mwizi nani bora?
Sorry anataka pesa
 
Fallacy!
 
Wafanyeje kama wanaongoza vijana wajinga wasiojitambua na kutambua haki zao kama wewe ulivyo, unataka haki yako aipiganie Zitto, Mbowe, Lissu nk.Hafu wewe unajificha na kisimu chako unaleta nyuzi za kijinga
 
Nchi za Kiafrica kusema ukweli juu ya hatma ya nchi yako ni Jinai.
 
Itoshe tu kusema kuwa ‘mzalendo’ halisi katika nchi hii ni yule anayesema ukweli kuhusu hali halisi hata kama ukweli huo utawauma watawala. Binafsi nina imani kuwa unahitaji kuwa taahira ili kuusifia utawala huu na ninamuunga mkono yeyote anayeusema utawala huu ndani au nje!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Upinzani ulikuwa wakati wa Dr.Slaa si huu wa makanjanja wa siasa kutwa wanazunguka kwa mabeberu kutafuta pesa za kujaza matumbo yao huku wakiyaahidi mabeberu kuyapa rasilimali za nchi yetu pindi wakichukua madaraka. Wapinzani wa leo hawana hoja za kuchambua na kuikosoa serikali hata wale wenye elimu ya uchumi kama Zitto nao wameingia kwenye mkumbo uleule badala yake wameachiwa akina Sugu,Lema na Msingwa wasiokuwa na upeo wowote wa kujenga hoja kwao makelele ndiyo upeo wa kujua siasa!
 
Sasa wewe ulitaka wafanyeje labda. Watafanikiwaje kama hakuna uchaguzi huru ili wakatiliwe na wananchi,kama wanazuiwa kufanya shughuli zao za kisiasa. Ebu sema kitu ambacho wanapaswa kufanya au unataka waachane na shughuli za siasa kiongoze chama kimoja tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alexander Litvinenko, alitoroka Russia na kuanza kutoa habari za usalama akiwa UK. Spika wa Bunge la Russia alimuahidi kifo kwa njia yoyote ile! Jamaa akadhani atalindwa na waingereza. Baadaye ananyweshwa Polonium na kufa.

Ushujaa mwingine ni upumbavu. Lissu alijiona ni maarufu na akaamini ana umuhimu sana! Sasa hajui aishi wapi anaanza kubembeleza eti kusindikizwa kurudi TZ. sijui wakimsindikiza baadaye wataishi naye! Mdomo hautulii!!
 
Hii nimeiona siku nyingi. Ushujaa lazima uwe wa akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…