zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Una maoni gani kwa sasa mbona amerudi amefanya kampeni na kapata wafuasi wengi na hakuna kitu mmeweza mfanya!!!Sasa hajui aishi wapi anaanza kubembeleza eti kusindikizwa kurudi TZ. sijui wakimsindikiza baadaye wataishi naye! Mdomo hautulii!!
Tukipata sanctions hao CCM watatumia nguvu zaidi kubaki madarakani kama Zanu PF na uchumi ukianguka hawataumia wanachama wa CCM tu bali nchi nzima. Navuta picha wanachama wa CDM wanaenda dukani hamna bidhaa, ATM hamna hela, pesa zako zote benki zinashuka dhamani zinakuwa makaratasi. Issue ya ZIM ilinifundisha mambo ya ndani yanabaki ndani msikaribishe majirani lakini ndiyo hivyo watu hawaelewi.Wakati Zimbabwe wanatafuta uhuru, kikwazo kikubwa kwao ilikuwa ni serikali ya Uingereza iliyokuwa inampa support Smith. Katika harakati hizo, Zimbabwe walifundishwa kupambana na Waingereza ili wafanikiwe uhuru wao.
Morgan alipokuwa anapambana na Mugabe akafanya kosa la kutafuta msaada toka Uingereza. Pamoja na kumchoka Mugabe, Morgan hakuonekana kuwa mtu sahihi wa kushika nafasi hiyo. Bahati mbaya hata SADC waliona ni upuuzi tu!
Tunao akina Zitto, Lissu na Mbowe. Huu ni mwaka wa uchaguzi ndo wanachachamaa kuzunguka Ulaya na US wakiomba msaada na kuishitaki serikali wanayoiita ni ya CCM.
Je, kweli wanaamini wananchi wanafurahia sana kusikia mtu anataka kutawala kwa msaada wa US na Ulaya?
Naweza kusema huo ni ujuha. Kwa ufahamu wa leo, huwezi saidiwa na US kutawala nchi baadaye US ikuachie bila kuivuna nchi inavyotaka.
Ikichokwa kweli na majority hutahitaji kuja kutuambia hapa. Huku bara bado wana watu lakini Zanzibar hawana na tunaona wenyewe bila kuambiwa.ccm imechokwa na watu . Tabia kubwa inayotishia amani ya ccm , ni pale mgombea anaposema sitaleta maendeleo mkichagua wapinzani . Sasa wanajiuliza mbona wale wenye upinzani ndiyo maendeleo yamezidi kwao . Wale wenye ccm wamechoka !.
Mtu wenu huyu!!!Umechelewa ndugu. Ni Yeyeeeeeeeee
Magufuli aneshindwa kuconnect na watanzania walio wengi, pamoja na miradi mikubwa na mingi sana aliyoanzisha miaka hii mitano.Wakati Zimbabwe wanatafuta uhuru, kikwazo kikubwa kwao ilikuwa ni serikali ya Uingereza iliyokuwa inampa support Smith. Katika harakati hizo, Zimbabwe walifundishwa kupambana na Waingereza ili wafanikiwe uhuru wao.
Morgan alipokuwa anapambana na Mugabe akafanya kosa la kutafuta msaada toka Uingereza. Pamoja na kumchoka Mugabe, Morgan hakuonekana kuwa mtu sahihi wa kushika nafasi hiyo. Bahati mbaya hata SADC waliona ni upuuzi tu!
Tunao akina Zitto, Lissu na Mbowe. Huu ni mwaka wa uchaguzi ndo wanachachamaa kuzunguka Ulaya na US wakiomba msaada na kuishitaki serikali wanayoiita ni ya CCM.
Je, kweli wanaamini wananchi wanafurahia sana kusikia mtu anataka kutawala kwa msaada wa US na Ulaya?
Naweza kusema huo ni ujuha. Kwa ufahamu wa leo, huwezi saidiwa na US kutawala nchi baadaye US ikuachie bila kuivuna nchi inavyotaka.
Wote ni watanzania na wote tunaona kinachoendelea. Wengi wanaoona Magufuli amewapa maisha magumu, wako mijini na ktk ajira za serikali, Basi! Kwa umma mkubwa ulioko vijijijini, Magufuli ni mkombozi wao. Umati wote unaouona ktk kampeni za Magufuli na Lissu ni umati wa mijini ambako ndiko wanakopita.Magufuli aneshindwa kuconnect na watanzania walio wengi, pamoja na miradi mikubwa na mingi sana aliyoanzisha miaka hii mitano.
Unaweza kuona kwamba mwanzoni Magu aliamini Lissu hana ishu, akamuacha "ahangaike". Lakini alipoona kumbe jahazi lake linazamishwa mchana kweupe, sasa Lissu anadhibitiwa, vitisho vingi, ratiba zinavurugwa kwa visingizio feki. Eti haruhusiwi kutua sababu kuna kimbunga, au haruhusiwi kujaza mafuta!
Zote hizo ni hofu. Magufuli akizidiwa, anatumia dola.
Lakini wapinzani nao wanapo pa kukimbilia. Nakumbuka siku IGP alimuongelea Lissu kwa hasira kali, na kuagiza Lissu ahojiwe na Polisi . Lissu alipuuza, lakini cha ajabu zaidi polisi wakanywea. Nikajua hapo ni kibano cha mabeberu tu ndio kimewatia adabu. We ulitaka wapinzani waache kampeni?
Mtu wenu huyu!!!
View attachment 1612809
.Wanazunguka nje sababu wanazuiwa kuzunguka ndani na kuonana na wanachama/wananchi.
Msafwa,
Uporoto, Mbeya.
Unaniuliza mimi badala ya kumuuliza yeye aliyetaka kusindikizwa! That is nonsense!Una maoni gani kwa sasa mbona amerudi amefanya kampeni na kapata wafuasi wengi na hakuna kitu mmeweza mfanya!!
Najua inakuuma sana but ndio hivo he is still alive na amerudi.View attachment 1612739View attachment 1612739
Mafala wa polepole ndivyo walivyoWafanyeje kama wanaongoza vijana wajinga wasiojitambua na kutambua haki zao kama wewe ulivyo, unataka haki yako aipiganie Zitto, Mbowe, Lissu nk.Hafu wewe unajificha na kisimu chako unaleta nyuzi za kijinga
Utaishia kutukana watu bure! Mtu unayemtetea akili iko tenge! Umeisoma taarifa hii iliyozuka mtandaoni au nayo imetungwa? soma.Upumbavu wa kiwango cha juu. Mmekata maneno na kuunganisha. Acheni ushamba
Sasa wewe unajichanganya. Magufuli kawafanyia nini watu wa vijijini? Maana kwa taarifa yako kilimo kimeuwawa. Kilimo ndio ajira kuu vijijini, ambako watanzania walio wengi wapo. Serikali zote za CCM baada ya Nyerere, wamepuuza kilimo. Siku hizi wako watu wanaitwa AFISA UGANI. Kilimo kilikuwa enzi za MABWANA SHAMBA. Serikali iliwekeza kwenye research centers kama Mlingano, Ukiriguru, Naliendele, nk. Nenda kawaulize watafiti jinsi walivyotelekezwa.Wote ni watanzania na wote tunaona kinachoendelea. Wengi wanaoona Magufuli amewapa maisha magumu, wako mijini na ktk ajira za serikali, Basi! Kwa umma mkubwa ulioko vijijijini, Magufuli ni mkombozi wao. Umati wote unaouona ktk kampeni za Magufuli na Lissu ni umati wa mijini ambako ndiko wanakopita.
Mijini na waajiliwa wana matatizo ya kijinga tu. Eti mtu anachukia kuzuiliwa safari za nje! Au kufukuzwa kazi kwa uwajibikaji duni! Hakuna aliyefukuzwa kazi akaonewa huruma na mwananchi wa kawaida, walishangilia! Tar 28 inakuja utajionea mwenyewe jinsi vijiji vinavyomkubali magufuli kwa sababu nzuri kabisa!
Hii haijulikanai maana unaposema wananchi, hao ni milioni 50+Je, unaamini kuwa wananchi wanaufurahia uongozi ulioko nadarakani?
Sent using Jamii Forums mobile app