Nipo hapa naangalia dunia inavyozunguka. Nimekuwa nikijiuliza kwa nini Coriolis force inatia shida kwenye fluids na matatizo ya harmattan weather Ngoja niendelee kusoma kitabu cha Ethics of voting. Kitafute ukisome badala ya hiyo ilani ya CHADEMA.duh, bado upo????
ilani ya chadema sina, nitumie mkuu kama hutojaliNipo hapa naangalia dunia inavyozunguka. Nimekuwa nikijiuliza kwa nini Coriolis force inatia shida kwenye fluids na matatizo ya harmattan weather Ngoja niendelee kusoma kitabu cha Ethics of voting. Kitafute ukisome badala ya hiyo ilani ya CHADEMA.
JokaKuu, kuna watu hawajui kuwa humu kuna wazee ambao tayari tulikuwa tunafuatilia siasa wakati Ian Douglas Smith, Waziri Mkuu wa Kwanza mzaliwa wa Rhodesia alipojitangazia uhuru na kujiondoa kwenye jumuiya ya Commonwealth mwaka 1965. Mwambie Patriot tuko wengi humu na asishangae wengine tukiikataa CCM, tunaijua TANU na CCM kuliko hawa limbukeni walioko madarakani hivi sasa...achana na mambo ya Lancaster House.
..wengine tumefuatilia harakati za ukombozi wa Zimbabwe toka wakati wako Mgagao.
Karudi na anakimbizaAlexander Litvinenko, alitoroka Russia na kuanza kutoa habari za usalama akiwa UK. Spika wa Bunge la Russia alimuahidi kifo kwa njia yoyote ile! Jamaa akadhani atalindwa na waingereza. Baadaye ananyweshwa Polonium na kufa.
Ushujaa mwingine ni upumbavu. Lissu alijiona ni maarufu na akaamini ana umuhimu sana! Sasa hajui aishi wapi anaanza kubembeleza eti kusindikizwa kurudi TZ. sijui wakimsindikiza baadaye wataishi naye! Mdomo hautulii!!
JokaKuu, kuna watu hawajui kuwa humu kuna wazee ambao tayari tulikuwa tunafuatilia siasa wakati Ian Douglas Smith, Waziri Mkuu wa Kwanza mzaliwa wa Rhodesia alipojitangazia uhuru na kujiondoa kwenye jumuiya ya Commonwealth mwaka 1965. Mwambie Patriot tuko wengi humu na asishangae wengine tukiikataa CCM, tunaijua TANU na CCM kuliko hawa limbukeni walioko madarakani hivi sasa.
Sawa kabisa, lakini kuna wansiasa huko tunakoita upinzani, hata uwape dola, wataishia kuifilauni tu!
Dah....mimi ni mwananchi...naufurahia sana[emoji2960]Je, unaamini kuwa wananchi wanaufurahia uongozi ulioko nadarakani?
Sent using Jamii Forums mobile app
..unadhani watafanya kitu gani ambacho wana-ccm hawajafanya?
..mimi kwa maoni yangu tukishabadilisha utawala mara moja nchi hii hakuna mtawala "atatushika masikio" tena.
..pia tukibadilisha utawala, tunarekebisha na KATIBA ili kuondokana na Raisi ambaye ni kama Baba Mtakatifu.
..all in all naheshimu msimamo wako. Ila nakusihi usiache kusoma, and keep an open mind.
..mimi nilikuwa ccm, then nikaenda nccr. alipokuja Mrema nikapigia CCM. sasa hivi n
Tatizo ni uelewa wa viongozi wa juu wa CHADEMA! Mwaka huu, miaka 60 baada ya uhuru, siwezi kuamini mtu aliyekuwa dj awe kiongozi wa chama kinachoongoza nchi! Ni uzembe kuamini ana ubora unaofaa...unadhani watafanya kitu gani ambacho wana-ccm hawajafanya?
..mimi kwa maoni yangu tukishabadilisha utawala mara moja nchi hii hakuna mtawala "atatushika masikio" tena.
..pia tukibadilisha utawala, tunarekebisha na KATIBA ili kuondokana na Raisi ambaye ni kama Baba Mtakatifu.
..all in all naheshimu msimamo wako. Ila nakusihi usiache kusoma, and keep an open mind.
..mimi nilikuwa ccm, then nikaenda nccr. alipokuja Mrema nikapigia CCM. sasa hivi ni Cdm kindakindaki.
Kuna maandishi wanayaita ni ilani, lakini nilipooneshwa nikahisi ni kama vile vitabu vya elimu ya watu wazima. Sentensi ya kwanza inasema kilimo cha pamba, sentensi ya tatu ni kokoa. Nadhani walikosa mwenye uwezo wa kuandika ilani ya kweli.ilani ya chadema sina, nitumie mkuu kama hutojali
Tatizo ni uelewa wa viongozi wa juu wa CHADEMA! Mwaka huu, miaka 60 baada ya uhuru, siwezi kuamini mtu aliyekuwa dj awe kiongozi wa chama kinachoongoza nchi! Ni uzembe kuamini ana ubora unaofaa.
Liberia walifanya kosa hilo hilo la kuamini mcheza mpira anaweza kuwa raisi, leo hii haijulikani ana sera gani. Umaarufu wa bilicanas ni kwa sababu tofaut
Mkuu hii hoja inaonyesha kijana Patriot hakushuhudia wala kutaka kujua nini kilitokea ZimbabwePatriot,
..How old are you?
..Kwanza Mugabe alikuwa hapigani na Waingereza, alikuwa anapigana na utawala wa Walowezi wa Southern Rhodesia.
China, Cuba na nchi zote za mrengo wa kushoto. Hivi Patriot anajua ''Mgagao accord'' na hapa ndipo akina Nkhomo na Mugabe walipokuwa wanapata msaada. Kuna Hashim Mbita RIP hao ndio msaada hasa, na ndio waliokesha Cuba na China kutafuta misaada ya Zimbabwe kwa mwamvuli wa Frontline states..Hivi unadhani Mugabe hakuwa na msaada toka nje wakati akipambana na Walowezi wa Southern Rhodesia?
..Au, umesahau kwamba Mugabe na Zanu walikuwa wanasaidiwa na WACHINA ktk vita vya ukombozi?
..Umesahau kwamba Mandela aliachiwa toka gerezani kwa msaada toka nje ikiwemo nchi za Magharibi?
..Unafikiri ANC na PAC wangeweza kuwatoa makaburu wa Afrika Kusini kijeshi?
Morgan alishindwa kwasababu ya Mugabe na Jeshi. Tvangirai alidhani kuwa akiungana na Mugabe atapata fursa ya ku-learn system na kumgeuka. Kwa Zimbabwe siasa zake zinalindwa na jeshi...Mimi nadhani kilichosababisha Morgan Tsivangirai ashindwe ni king'ang'anizi cha Robert Mugabe na Zanu-PF.
..Walowezi hawakuwa tayari kuharibu UCHUMI ili kubaki madarakani. Lakini viongozi wengi wa Kiafrika wako tayari kupoteza kila kitu, kuua, na kuharibu uchumi, ili wabaki madarakani.
cc Mindi, Nguruvi3, tindo
Watu wa aina hiyo wapo wengi. Mtu kama huyu alizoea kuendesha casino na wahuni wenzake. Bahati mbaya kuna kabila lake ambao wanamuina anafaa kwa sababu tu ni mwenzao, lakini kuongoza nchi, No!..Usimdharau Dj Mbowe.
..alikuwa na vision fulani ambayo imewezesha chama kufika kilipofika.
..siasa za upinzani za Tz ni ngumu na ndiyo maana wasomi wanazikimbia.
..Nccr walikuwa na kundi la Ma-doctor toka Faculty of Law lakini wote walikata tamaa wakamuachia chama James Mbatia.
Watu wa aina hiyo wapo wengi. Mtu kama huyu alizoea kuendesha casino na wahuni wenzake. Bahati mbaya kuna kabila lake ambao wanamuina anafaa kwa sababu tu ni mwenzao, lakini kuongoza nchi, No!..Usimdharau Dj Mbowe.
..alikuwa na vision fulani ambayo imewezesha chama kufika kilipofika.
..siasa za upinzani za Tz ni ngumu na ndiyo maana wasomi wanazikimbia.
..Nccr walikuwa na kundi la Ma-doctor toka Faculty of Law lakini wote walikata tamaa wakamuachia chama James Mbatia.
Tuone wanafika wapi. Ada ya muda hunena muungwana ni kitendoWakati Zimbabwe wanatafuta uhuru, kikwazo kikubwa kwao ilikuwa ni serikali ya Uingereza iliyokuwa inampa support Smith. Katika harakati hizo, Zimbabwe walifundishwa kupambana na Waingereza ili wafanikiwe uhuru wao.
Morgan alipokuwa anapambana na Mugabe akafanya kosa la kutafuta msaada toka Uingereza. Pamoja na kumchoka Mugabe, Morgan hakuonekana kuwa mtu sahihi wa kushika nafasi hiyo. Bahati mbaya hata SADC waliona ni upuuzi tu!
Tunao akina Zitto, Lissu na Mbowe. Huu ni mwaka wa uchaguzi ndo wanachachamaa kuzunguka Ulaya na US wakiomba msaada na kuishitaki serikali wanayoiita ni ya CCM.
Je, kweli wanaamini wananchi wanafurahia sana kusikia mtu anataka kutawala kwa msaada wa US na Ulaya?
Naweza kusema huo ni ujuha. Kwa ufahamu wa leo, huwezi saidiwa na US kutawala nchi baadaye US ikuachie bila kuivuna nchi inavyotaka.
Sema kwa ufahamu wako. Mugabe alikuwa sahihi au hapana! Kwa maelezo yako unahisi hakuwa sahihi. Wengi hata wanamsingizia kuharibu uchumi wa Zim-dollar. Tunaojua tunasema hapana!..mimi mwenyewe nilikuwa namuunga mkono Mugabe wakati ule anataifisha ardhi.
..lakini baadae nikaja ku-realize anatumia nguvu kuliko maarifa, na anatumia suala la ardhi kujisimika kwenye madaraka.
..tulikuwa tunavurugana kwelikweli na wachangiaji wazoefu wa hapa JF kwasababu ya Mugabe.
Juna akili weweWacha wasaidiwe tu! Mbona CCM inasaidiwa na wasiojulikana ushawahi lipigia kelele hili?