Zitto: Magufuli aliendesha nchi Kwa kudanganya, sasa tunatumia uongo ule kuwapima walioko madarakani

Akina Zitto hapa wanacheza Kama influencers. Kanuni ni Ile Ile tengeneza mahitaji then tafuta wadau Piga mchongo.
 
What a load of rubbish. Unaposema "ongezeko" siyo kufumba na kufumbua, it takes anything between 3 and 10 years. Kigoma mwakani wanapata gridi, iluanza zamani si ya siku moja. Awamu ya 5 imeanza Stieglers' iliyopimwa na kupangwa na Wakoloni tangu 1905 na awamu zote 4 zilizotangulia. Na Dodoma Mji Mkuu hivohivo.
 
Zitto ni tapeli wa siasa.
 
Muacheni JPM apumzike jamani, hata kama wavae ama wasivae viatu vyake ukweli ni kuwa ameshatangulia mbele za haki kwa yale mazuri tunashukuru kwa maisha yake kwa yale mabaya kama ajira kwa vijana tuna shukuru Mama anafanyia kazi.
 
Mm ninachokijua hakuna kiongozi kutoka ndani ya CCM alishawahi kuja na fikra nzuri za kuikomboa Tanzania ,wote ni hamna kitu.Wao ni kuteuana ,kulipana mishahara minono na posho juu na kununua magari ya kifahari huku zaidi ya 80% wanaangaika na maisha magumu.Kuna kipindi huwa natamani miccm ife yote labda nchii hii itaondoka hapa ilipo .
 
Walete umeme waache kutafuta mchawi, ni ngumu sana kuwaaminisha watanzania anachosema zitto. Miqka mitano hakuna shida ya maji wala umeme ghafla hivi vitu vinakuja alafu yale mafisadi anakuja na hoja kama hizi...
 
Kwaiyo wewe na akili yako nyingi unaamini kuwa ni kweli mabwawa yamekauka[emoji23][emoji23][emoji23] kama mwenye akili ndo yuko namna hii je aliye mirembe atakuwa anafananaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tumepigwaa
 
Marehemu hakusema kuwa wameongeza vyanzo vya uzalishaji, bali kulikuwa na hujuma katika uzalishaji wa vyanzo hivyo. Ambao waliuthibiti.
 

Zito ni muongo, mnafki, tapeli na fisadi


 
Uzuri ni kwamba JPM hakuwa mwanasiasa alikuwa mwanasayansi pure, ndio maana katika utawala wake wanasiasa hawakupta nafasi.

Ikiwa katika kutudanganya mgao wa maji na umeme haukuwahi kuwepo katika kipindi chake chote cha utawala basi uongo wake ulikuwa bora sana.

Mtu ameshakufa bado mnaendelea kumshushia lawama zisizomuhusu, mnadhani wananchi ni wajinga hawatambui uwezo wa JPM. Katika utawala wake tulisahau mgao wa umeme, tulisahau kipindupindu tulisahau njaa.
 
hahahahahahahaha sasa Zitto kwanini usimshauri makamba mtumie maungo ya JPM kuhakikisha umeme haukatiki? kama JPM alitegemea uongo ili mitambo iendelee kuwaka kwanini na serikali isitumie hiyo mbinu kuondoa hiyo kero
 
Uzuri ni kwamba JPM hakuwa mwanasiasa alikuwa mwanasayansi pure, ndio maana katika utawala wake wanasiasa hawakupta nafasi.

Ikiwa katika kutudanganya mgao wa maji na umeme haukuwahi kuwepo katika kipindi chake chote cha utawala basi uongo wake ulikuwa bora sana.

Mtu ameshakufa bado mnaendelea kumshishia lawama zisizomuhusu, mnadhani wananchi ni wajinga hawatambui uwezo wa JPM. Katika utawala wake tulisahau mgao wa umeme, tulisahau kipindupindu tulisahau njaa. Unajua kuwa hilo bwawa la Nyerere likija maji itachukua muda gani kuoperate hata kama mvua hainyeshi. Mnafikiri JPM alikurupuka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…